Captain Bakari Nondo Mwamnyeto nakupa maua Yako, Jana katika mechi dhidi ya Azam ulionyesha kitu kikubwa Sana na kwasasa Mimi binafsi naona unastahili Kuanza katika mechi upo tayari.
Jana ulicheza kama Kiongozi, mpambanaji , mfia timu licha yakua na shida kidogo katika ku kokota mpira na baadhi...