Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama.
Miaka 37 baadae, John Pombe Magufuli alimchagua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi wote wakisemekana ni Wasukuma...
Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.
Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba...
Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo.
Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi...
Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina.
Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
Vyombo vya habari vya Tanzania vinaonekana kuifuta mipaka kati ya uandishi wa habari na hadithi za mitaani, kwa ku-copy na ku-paste kila habari wanayopata bila kuchimba zaidi kutafuta ukweli.
Drama ya hivi karibuni inayowahusisha Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, na Steve Mengele...
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza.
Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu.
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
Kwa nini anaitwa baba wa Taifa....
Ni kwa sababu aliweka msingi na mikakati ya Taifa la Tanzania.
Kama umepata fursa ya kutembea nchi hii ndio utaelewa Baba wa Taifa alikuwa ni kichwa haswa.
Zipo Taasisi za kimkakati alizoasisi na hadi sasa zimebaki kuwa ni muhimili wa Taifa kusonga mbele...
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa hayati Mwalimu Julius Nyerere amesema anasikitishwa na baadhi ya viongozi wanaokwenda kutembelea mji wa Baba wa Taifa na kutoa kauli mbalimbali za kumsifu mwalimu, lakini wakiondoka hawapokei tena simu zake.
Madaraka amesema si kila simu anayopiga ni simu ya...
Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande.
Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa...
Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita
Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
Wanabodi,
Leo tunaadhimisha miaka 25 bila ya Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho rasmi Silver Jubilee yanaendelea kule kijijini kwake Butiama, swali ni "Kwa Miaka hii 25 Bila Nyerere, kwa vile Nyerere alikuwa mjamaa wa kweli, je sisi Watanzania, tunamuenzi kwa dhati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.