Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa, mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu, ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao...
Leo Madaraka anatimiza miaka 64.
Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away).
Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada.
Madaraka ana predilection for going to Uhuru Peak,( Uhuru Peak,that is the summit of Mount Kilimanjaro).
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook
"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
Yamekuwa yakisikika maneno:
"JF ni Raha sana."
Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.
Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia.
Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda...
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua.
Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM".
Aidha mwalimu Nyerere aliwataka wajumbe kuteua Mgombea atakayekidhi matakwa ya...
Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani nichape maiti take viboko mia sababu alikuwa ni mlevi wa madaraka ila nashangaa kuna mijitu inamuita...
Kipindi Nyerere anachukua nchi kulikuwa na sheria ya kuweka watu kizuizini,sikumbuki ilifutwalini.
Yaani ni ile hali unachukuliwa ubatupwa selo hakuna kupelekwa mahakamani mpaka waone umekoma au umekufa ndio mwisho wako.
Enzi za mwalimu kuna mzee mmoja jirani yetu kule Oysterbay,ilikuja Land...
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar.
Hii...
Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
PROF. SHIVJI AMWELEZA MWALIMU NYERERE
Ilikuwa siku ya uzinduzi wa nyumba ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere baada ya kufanyiwa ukarabati.
Baada ya uzinduzi wadau wa historia ya Mwalimu Nyerere tulijumuika kuzungumza.
Kabla ya shighuli hii nilitembelewa na maofisa wa nyumba hii ya kumbukuzi...
Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti tofauti.
Ni gharama sana kulihudumia Jeshi. Ukiona nchi inaamua kuanzisha vituo vya kijeshi nje ya...
Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila.
Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa.
Nami nimejitahidi kuliangalia tatizo hili nikipitia historia yake mwenyewe Mwalimu.
Mwalimu Nyerere alipigiwa kura kuwa Rais wa TAA...
"Unaweza usiamini kwamba ni Tanzania tu inatokea kwa mara ya kwanza duniani, kwamba biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi. Yes amini Mwendokasi inakufa huku ongezeko la wateja ni kubwa sana na haina mpinzani ni wao tu Dar nzima. Hivi sisi ni akina nani? sisi ni MANYANI" Anasema Yerico...
Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa.
Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.
Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.
Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Tanzania imeandaa mashindano mapya yaliyopewa jina la ‘Mwalimu Nyerere Liberation Cup’ ambayo yatakuwa ni mashindano ya vijana wenye umri wa miaka 20 yatakayojumuisha Bara lote la Afrika.
Dkt. Ndumbaro amesema hayo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.