Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
Kwa mujibu wa clip:
1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika
2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar
3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua kukomaa na Utanzania
Kama Wazanzibar waliweza kubaki na Uzanzibar wao, kwa nini yeye aliukana...
Binafsi
Naona historia ya afrika imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha maafa hapa barani,hatupo active kwa changamoto za kihistoria kuna pandikizi kubwa la maisha ya ukoloni ambao ulijenga misingi ya kutudumaza kupitia elimu,dini na biashara,ni nani hajui kuwa utumwa wa leo ni matokeo ya jana...
Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni.
Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika.
Sijui kwa nini.
Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na...
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Habarini wakuu...
Wanasema ndoto ni maono ya uzoefu wa maisha ya kila siku, sikuwepo enzi za hawa Wanasiasa ila historia imenijuza machache. Sasa leo nimeota ndoto fupi ila ilionionyesha uhalisia wa uhasama aliokua nao Mwalim JK Nyerere dhidi ya Oscar Kambona.
Ndoto inaanza Oscar Kambona...
Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho 21 Mei 2024 Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Mkoani Dar es Salaam na Kilele chake kufanyikia Mkoani Tanga.
Akiongea na Vyombo vya habari, leo tarehe 20 Mei 2024 Mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia...
Kuna mwazuoni humu huwa anaandika sana kuhusu waislam na uhuru naweza sema mzee said ni mwanahistoria mzuri sana ila kafunikwa koti la udini
Ni hivi Nyerere angekuwa na chuki na hao waislam asingemweka hata huyo mzee mwinyi awe rais mzee kawawa hao kina salim na wengine...
Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961.
Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa.
Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA
Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana.
Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
Heshima sana wana ukumbi,
Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo.
Katika tafakari yangu ta leo nimejikuta nikishangaa na kusikitika kwa wakati mmoja.
Muasisi wa mfumo Kristo alitengeneza mfumo...
THE NYERERE YEARS
Nakifahamu kitabu hiki kuhusu marafiki wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
In Shaa Allah nitajaribu kuandika niyajuayo kutokana na majina ya hawa ambao ni rafiki zake na ndiyo waandishi wa kitabu hiki.
Bahati mbaya sana kuwa hawa waandishi Wazungu ukiwatoa wachache...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere.
Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
Kwa wanaolewa topography nzima ya eneo la Rufiji basin, hii inawezekana?
Kwamba pana tofauti ya kutosha ya alltitude na reservoir area nyingine mbele ya bwawa la rufiji?
Inabidi tuwaze miaka 30 toka sasa tusije kurudi kwenye limgao la umeme, maana watu kama akina JPM ni nadra sana kuwapata...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.
Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza.
Yericko kaandika hivi huko Facebook;
Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania!
Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.