Kila siku ni nyimbo zile zile, utafikiri ni nyimbo za shule. Dunia ina wanamuziki wengi sana, wenye nyimbo nzuri na tamu kwa kucheza.
Kuna wanamuziki wazuri tu wenye nyimbo nzuri huko duniani, miaka ya 70 n.k
Sasa kila siku tukija, ni nyimbo zile zile zinapigwa; kwa ujumla, mnatuchosha sana...