Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!