Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit).
Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
Naungana kabisa na mheshimiwa Rais, kwenye suala la katiba hatupaswi kuwa na haraka kwa kujilinganisha na nchi nyingine.
Vivyo hivyo hata kwenye masuala ya ukusanyaji wa kodi hatupaswi kujilinganisha na 'wenzetu Indonesia, Japan, Austraria' nk maana ni kweli hatufanani!
Mara kadhaa tumekuwa...
Baada ya kushindwa kuiteka Kyiv, na pia kuchezea kichapo cha counteroffensive, aona hamna namna ila kujaribu kuwagawanya Ukraine wamchukie Rais wao kisa ana damu ya Kiyahudi.
Kumbe ndio maana waarabu wa Bongo wanamchukia Zelensky, na wao wameaminishwa ni Myahudi.
Russian President Vladimir...
Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.
Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.
Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua.
Usela wa uswahilini unamharibia sana.
Nature bado...
Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Kimataifa ya Kwanza Wilaya ya Kusini Unguja visiwani Zanzibar amesema kuwa akiwa mkoani Arusha hivi karibuni amerekodi filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana...
Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani.
Shirika la Habari la...
Ukitaka unufaike na matatizo yako basi yageuze upande wa pili.
Sakata la bandari limeibua mengi na sasa linaonekana kutaka kuigawa nchi. Niwaambie kitu? Nchi yetu itakuwa imara zaidi baada ya sakata hili.
Kwani tutawajua viongozi wetu vizuri zaidi, tutajua sheria zetu vizuri zaidi, viongozi wa...
Salama humu🙂
Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp.
Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini.
Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea.
Sasa kinachoniajabisha...
Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana.
Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa...
Kuna watu wanaweza wakashangaa sana kuona USA kuna watu wanaishi maisha magumu sana. Kwamba huko USA kuna watu hata mlo wa siku kwao ni shida. Kuna watu wanashinda njaa na wanakufa kwa kukosa chakula.
Leo katika uzi huu nitaenda kiundani sana kuiongelea Marekani katika mambo yafuatayo:-
1...
Poleni na heka heka za weekend.
Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023.
Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
Salaam,
Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa.
Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu.
Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.
Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao
Hivi ni...
Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo.
Kujaza huku kwa uwanja...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo ameitaka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuwa na mfumo mathubuti wa kuratibu tafiti utakaosomana na Taasisi nyingine zinazofanya tafiti.
Agizo hilo limetolewa Julai 31, 2023 mjini Morogoro katika Kikao kazi cha...
"Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na kuacha Mchezaji.
Hapa wanafanya uhuni kwakuwa wanajua kuwa Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana basi...
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.