Naomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano.
Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto
Baada ya miezi...
Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini gani hiyo? Inayosupport mauaji?
Ona Rwanda walisababisha vita ya kimbari na waliwashawishi...
Hivi mtu kama Mwana FA ana ushawishi gani hata aifuate Timu ya Taifa kwa madai ya uongo ya kuongeza nguvu ?
Hii nchi mbona kila mahali ni kutafuta fursa?
Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao.
Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu hadi wa buku saba, wanahangaika hadi usiku wa manane kupost post tu vijipost ambavyo havijengi zaidi ya...
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala.
So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine.
Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...
Hakuna kukatatamaaaa hata Al Ahly kadroo jana.
Naomba msiumie moyo na megi ya leo ft draw.
Tena usishangae hata goli moja hakuna kama jana.
All the best Simba SC.
Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu has said that if Lebanon's Hezbollah opened a second front in the ongoing war between Israel and Hamas, then he would bring devastation in southern Lebanon and turn Beirut into today's Gaza.
"If Hezbollah decides to open an all-out war, then with its...
"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba...
Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi.
Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
Habari wakuu,
Inakatisha sana tamaa ndugu zanguni. Yaani unakuta channel imekuwa created miaka mitatu iliyopita, ina video kama nane hivi zenye length ya dakika 10 kila moja, contents unakuta ni nzuri tu, video ni HD 1080p, zina ng'aa sana, lakini unakuta video moja ina 276 views, iliyojitahidi...
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!
#Hii Imeenda
Meza ya siasa na uongozi
Somo lililopo mezani je, ni mambo gani Singapore, U.S.A na China wanatufundisha sisi nchi iliyo poteza dira ?
Kwangu mimi kama tukitaka kujifunza Vyama bora vya siasa, Mifumo/taasisi imara na Bunge bora Basi yatupasa kuzama hizi nchi.
Kwa Bunge bora
Hapa tutazame na...
Baada ya timu ya wanaume ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutwaa kombe la African Football League (AFL), jana ilikuwa zamu ya timu ya wanawake ya Mamelodi kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afika kwa Wanawake.
Jana, Mamelodi Women walishinda mabao 3-0 dhidi ya SC Casablanca Women ya Morocco. Ni...
Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:
Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
NA HAYA NDIO MAAMUZI YA MAHAKAMA YA RUFAA KATIKA KESI YA LENGAI OLE SABAYA.
Well,Kwanza Nitangulize Kusema kwamba Mahakama hii ya Rufaa ndio Mahakama ya Mwisho Kabisa katika Ngazi ya Maamuzi ya Kimahakama Nchini Tanzania, Shauri hili baada ya hapa limefungwa Rasmi....tuendelee..👇
Hili Ni...
Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii.
Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika.
Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi...
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa?
Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia.
Cha msingi zaidi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.