Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?
Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru...
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo
Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko...
Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena.
Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
Hello wana JF,
Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa...
Hi Kings and Queens.
Nimejiuliza swali hili baada ya kusikia nchi kama Ufaransa na Marekani kuwa na majeshi katika ardhi za nchi nyingine.
Naomba kujifunza kwa kujibiwa maswali haya:-
1. Hawa mabeberu wanaanzisha kambi zao kibabe kwa maana bila ridhaa ya wananchi au wanapewa ardhi na wenye nchi...
Hello!
Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile. Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi.
Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye...
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.
Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa...
TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine
Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye
Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu...
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali.
Kwa mara...
Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.
Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
barabara
dar
eneo
hali
haya
kubwa
maalum
madhara
maeneo
mafuriko
maji
mamlaka
matukio
mbalimbali
mikoani
mjini
morogoro
mvua
mvua kubwa
mvua za el nino
nyingine
picha
tahadhari
tarehe
update
uzi maalum
video
zanzibar
Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote.
Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM?
Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
Match Day
Leo Jumapili 21.01.2024.
Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo.
Zambia hawakupata mwanzo mzuri katika Mashindano haya walipokubaliana na Congo DR kwa sare ya 1-1 Jumatano.
King...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa.
Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa!
===
Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.