TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC XBOX GAMES 0710701361
FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC INAPATIKANA🔥🔥🔥
INAHITAJI RAM 4GB NA PROCESSOR KUANZIA 2...GHZ
PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA 🔥🔥🔥
PC INATAKIWA KUWA NA 4GB RAM PROCESSOR ANGALAU YA 2...GHZ ,60GB STORAGE.
PIA PES 24 YA PS4 ZA...
I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.
Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu?
Je, Marekani inatawaliwa na...
Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno.
Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla.
Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana.
Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita.
Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi ya bandari ya Mtwara, Serikali inakwenda kujenga bandari nyingine mkoani humo katika eneo...
Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea
========
Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated.
Ukraine’s...
Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate.
Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo kuanza...
Kila mtu (nikiwemo mimi) alipigwa na butwaa na mioyo ya matumaini ya ushindi dhidi ya CCM...
Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda mrefu, kwamba hatua za upande mmoja ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na...
Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba
"Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe
Ninapojitazama mimi sistahili
Ninazo dhambi tele
Shetani kanisonga
Yesu uniokoe
Unishike mkono bwana
Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu.
Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha.
Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini...
Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata...
Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine.
Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale zinazotokea aidha kwenye jamii zetu au familia zetu, lakini kumekuwa na sababu nyingi zinazopelekea ndugu...
Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini.
https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Lakini mara nyingi nimekuwa...
Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania.
Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida....
A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September.
Source: Ukrainska Pravda’s sources in the Security Service of Ukraine (SSU)
Details: The sources said the SSU's SeaBaby USV hit the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.