nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

    Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu. Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha! Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha! Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu-...
  2. ndege JOHN

    Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  3. G

    Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana. Ukiangalia kwa nje...
  4. Influenza

    Baada ya 'Royal Tour', Serikali sasa yaja na filamu nyingine iitwayo 'Amazing Tanzania'

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Bungeni leo wakati akiwasilisha Hotuba ya kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka 2024/25 amebainisha kuwa Serikali kutokana na mafanikio ya programu ya The Royal Tour, Serikali imetengeneza filamu nyingine yenye hadhi ya kimataifa ya...
  5. runtown

    Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  6. Optimists

    Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box. Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini...
  7. Greatest Of All Time

    Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
  8. Ivan Stepanov

    Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  9. Z

    Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  10. T

    Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

    Haya twende kazi bila kurefusha story kichwa cha habari kinajieleza. Unajiapiza nitaenda baa kunywa bia mbili tu, sitaki demu kabisa, tena unachagua sehemu hisiyo na mademu. Ile unamalizia bia ya pili tu, pisi kali ndo zinaingia, kwa mshangao nguvu hiyo hisiyothimilika inawavuta warembo wakae...
  11. P

    Mfungo wa Ramadhani umeanza, mahali ulipo sukari imeshuka bei? Hali ikoje kwa bidhaa nyingine?

    Wakuu kwema? Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo? Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
  12. Mtini

    Naiona Simba ikiangusha point nyingine dhidi ya Coastal hapo kesho

    Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho. Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
  13. J

    Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  14. F

    Kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani?

    Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine mapya ( sijui tamati ya yale ya awali). Uhuru amepewa nyumba? Amandla...
  15. P

    Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  16. N

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  17. Muuza madafu wa Ikulu

    RECORD: Yanga yaweka Rekodi nyingine Afrika

    Young Africans SC imekuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV) #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
  18. Restless Hustler

    Huzuni Nyingine Yaikumba Arusha: Ajali Yachukua Roho Za Watu 15 Jioni Hii

    Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
  19. S

    Kwa Watumiaji wa Printer za Epson na Nyingine. Inkpad Reset software Nauza

  20. figganigga

    Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
Back
Top Bottom