Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje..
Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia.
Hapa panakuwaje wakuu..?
Wadau hamjamboni nyote?
IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki
Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao!
Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini
IDF...
Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens,
Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi.
Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA barabara ya lami kutoka Kidatu hadi Ifakara.
Siamini kama mbunge kama huyu anajua wajibu wake hapo...
Usiku ni mrefu ila ukilala na kuota ndoto za ajabu ajabu huufanya uwe mrefu zaidi. Kuna baadhi ya ndoto nikiota ni ngumu sana kuzikumbuka na hizi ndio hunipa hofu hasa nikiota ndoto mbaya.
Huwa ninapata hofu kwa sababu ndoto nyingi nisizozikumbuka huwa zina uwezekano mkubwa wa kutokea na...
Nilikaa hapa nikafikiria, nikatamani wazo la kujenga bandari ya bagamoyo kama lingekuwepo, ikaunganishwa reli ya SGR toka dsm,bagamoyo, tanga, moshi, arusha, musoma to kenya, na bagamoyo kuunganisha na sgr hii mpa. nikakumbuka kuwa kumbe kulikuwa na kipengele cha marufuku kujenga bandari...
Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende.
Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini.
Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira.
Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini...
Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao
Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
Matatizo: Harmonize
2016
Haiyee aaah!
Olelelelee
Alfajiri imefika
Anga inang'aa
Mvua inaanza katika
Ghafla tumbo la njaa
Naweka sauti kwa spika
Nipate umbea wa dar
Mara simu inaita
Jina la anko Twaha
Akisema, mama yu hoi kitandani
Kama si wa leo wa kesho
Na kupona sizani
Upate japo neno la...
Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,
1. Maisha ni fumbo,
2. Tumeumbiwa kifo,
3. Kifo ni kitendawili
4. Tunatembea na kifo
5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini)
Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha .
Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi...
WAKATI nakua na kupata fahamu za kujua kuwapo kwa Mungu, ipo siku wazazi wangu waliniamsha alfajiri na kunivisha nguo ambazo sikuwahi kuzivaa, zilikuwa mpya; shati na kaptura, tofauti na zamani nikivaa shati refu tu bila kingine chini.
Baada ya kuvishwa nguo hizo nikiwa nimemaliza kuoga, tukala...
Mvutano kati ya Urusi na Marekani umeongezeka kwa hatari kufuatia shambulio baya la kombora huko Sevastopol, Crimea, ambalo maafisa wa Urusi wanadai lilitekelezwa kwa silaha zilizotolewa na Marekani.
Shambulizi hilo lililotokea Juni 23, lilisababisha vifo vya watu wanne, wakiwemo watoto wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.