Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili

Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu.

Kuna matukio mengi simba inaonewa na refa lakini zimbwe anakuwa mnyonge ,ataongea nini akiulizwa na refa,you know sometimes photocopy together ball in the hand.

Hii imeigharimu timu,jana lile kipa ngongoti lilidakia kpira nje ya bokisi, kibu ndio akawa anamshurutisha mwamuzi kwa ishahara,Kibu nae nadhani anajua lugha nyingi.muhamiaji halali.

Zimbwe inatosha kuwa Captain Thank You,kwanza hata kiwango chako kimeshuka

Kama mganga amesena Zimbwe ndio awe captain sawa ila aongeze ukali ,achangamke,amepoa kama supu ya kondoo
 
Pale simba kuna mchezaji anajua kiarabu? Au kireno au kifaransa?

Mpira una lugha zake. Universal.

Ungesema Simba inahitaji Captain mwenye haswa ningekuelewa.
Hata mimi naona Zimbwe hatoshi.
 
Unachosema ni kweli Simba kuna muda wanaonewa lakini hakuna mchezaji anayemlalamikia refa na captain anatoa macho tu kule golini

Zimbwe hafai kuwa CAPTAIN
 
Unachosema ni kweli Simba kuna muda wanaonewa lakini hakuna mchezaji anayemlalamikia refa na captain anatoa macho tu kule golini

Zimbwe hafai kuwa CAPTAIN
Bora umeliona mkuu
 
Pale simba kuna mchezaji anajua kiarabu? Au kireno au kifaransa?

Mpira una lugha zake. Universal.

Ungesema Simba inahitaji Captain mwenye haswa ningekuelewa.
Hata mimi naona Zimbwe hatoshi.
Angalia profile ya Ngoma,lazima anajua kiarabu cha kuombea maji
 
Kuna matukio mengi simba inaonewa na refa
Mboni refa kawapa goli lile la Offside msianze ujinga hapa maana mshagundua South hamtoboi mnaanza visingizio zigo la lawama mnataka mumpe Zimbwe acheni uzwazwa
 
Mboni refa kawapa goli lile la Offside msianze ujinga hapa maana mshagundua South hamtoboi mnaanza visingizio zigo la lawama mnataka mumpe Zimbwe acheni uzwazwa
Refa yupi VAR ndio iliamua
 
Back
Top Bottom