Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili

Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu.

Kuna matukio mengi simba inaonewa na refa lakini zimbwe anakuwa mnyonge ,ataongea nini akiulizwa na refa,you know sometimes photocopy together ball in the hand.

Hii imeigharimu timu,jana lile kipa ngongoti lilidakia kpira nje ya bokisi, kibu ndio akawa anamshurutisha mwamuzi kwa ishahara,Kibu nae nadhani anajua lugha nyingi.muhamiaji halali.

Zimbwe inatosha kuwa Captain Thank You,kwanza hata kiwango chako kimeshuka
Kibu sio muhamiaji.
Kibu amekulia vijijini...anazungumza kisukuma sanifu kabisa
 
Ukiacha lile tukio la kipa kudakia nje, kuna tukio lingine la mpira kumgonga beki ndani ya box na tukio lile Mukwala na mchezaji mwingine walikuwa karibu na hata hawakunyosha mkono wala kulalamika. Watazamaji tu ndiyo walipiga kelele.

Kama ulivyosema kuna umuhimu wa kuwa na captain sharp zaidi ukiachilia anayejua lugha. Pia ni vizuri captain awe kiungo au mshambuliaji maana wakati mwingine beki ni ngumu kumzonga mwamuzi maana anarisk timu pinzani kushambulia kwa haraka kwenye eneo lake. Kiungo au Mshambuliaji anaweza kuendelea kumsumbua mwamuzi hata mpira ukiwa unaendelea.
Sijui kwa nini tunakuwa wanyonge hivi,au tinavizia zawadi ya timu yenye nidhamu,waarabu wanajua sana kumzonga refarii
 
Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili

Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu.

Kuna matukio mengi simba inaonewa na refa lakini zimbwe anakuwa mnyonge ,ataongea nini akiulizwa na refa,you know sometimes photocopy together ball in the hand.

Hii imeigharimu timu,jana lile kipa ngongoti lilidakia kpira nje ya bokisi, kibu ndio akawa anamshurutisha mwamuzi kwa ishahara,Kibu nae nadhani anajua lugha nyingi.muhamiaji halali.

Zimbwe inatosha kuwa Captain Thank You,kwanza hata kiwango chako kimeshuka
Hivi wale Waarabu wanavyokuwaga wanamzonga refa huwa wanajua lugha ya refa au tabia tu?
 
Acheni basi Zimbwe ni Captain bora kabisa na wachezaji wenzake wanamheshimu
 
Kazi ya captain sio kuheshimiwa tu balu kuwaongoza wenzake ni kama monitor darasani,ucaotain lazima uwe na kipaji cha uongozi
 
Yes Zimbwe anacho hicho kipaji cha uongozi
 
Hivi wale Waarabu wanavyokuwaga wanamzonga refa huwa wanajua lugha ya refa au tabia tu?
Vyote kwa pamoja,refa azongwe na ikibidi aambiwe tatizo ni nini kwa mdomo
Sasa sisi hatumzongi na hatulalamiki
 
Kwa sasa pale Simba naona Kibu D mkandaji anafaa kupewa kitambaa .

Ukiangalia Kibu huwa yuko sharp kuonesha kutoridhishwa na maamzi tofauti na Zimbwe ambaye ni mpole na mkimya kama kondoo apelekwaye machinjioni.
 
Yes Zimbwe anacho hicho kipaji cha uongozi
Prove it
Hata kuongea tu nimefuatilia intetview zake hayuko vizuri,sijui ndio mnaita introvent sijui,
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom