Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Refa ndia aliamua hakuhusisha chochote kati ya hivyoGoli na mamelodi ?
Lile inaamua var au goal line tech?
Refa ndia aliamua hakuhusisha chochote kati ya hivyoGoli na mamelodi ?
Lile inaamua var au goal line tech?
Marefa wengine miyeyusho ukimzonga sana achelewi kukupa kadi nyekunduTimu ya Messi automaticalky huwa inabebwa na waamuzi.
Messi nae sio mnyonge ataenda kumzonga mwamuzi hata kwa ishara,sasa Zimbwe yeye ni kama yupo hayupo
Situation kama ile ya goli tech mahususi ni goal line tech, var haina nguvu na hawakua na goal line tech maamuzi yanabaki kwa refa, ni kama mpira wa kurusha tu refa hata akikosea var haiingii katiRefa ndia aliamua hakuhusisha chochote kati ya hivyo
Nadhani captain alishindwa kuwasilisha malalamiko ya timu kutosha kumshawishi refa atumie var, ili afanye maamuzi kwa ufanisi maana Goal line tech haipo, ingepaswa atumie usaidizi wa video. Goli sio kitu cha kuchukulia kimasihara kama mpira wa kurusha n.kSituation kama ile ya goli tech mahususi ni goal line tech, var haina nguvu na hawakua na goal line tech maamuzi yanabaki kwa refa, ni kama mpira wa kurusha tu refa hata akikosea var haiingii kati
wewe ni mimi mtupuHamna kitu ambacho sipendi kama kuona Simba inafanikiwa
Var ilijaribu kucheki kwenye kamera zao huko mkuu na hua wanawasiliana aisee, haiwezi toa pendekezo ambalo wao hawana uhakika mkuu, zigo linaangukia kwa refa. Labda kama unataka kusema kwanini refa hakwenda kwenye Tv ya var,Nadhani captain alishindwa kuwasilisha malalamiko ya timu kutosha kumshawishi refa atumie var, ili afanye maamuzi kwa ufanisi maana Goal line tech haipo, ingepaswa atumie usaidizi wa video. Goli sio kitu cha kuchukulia kimasihara kama mpira wa kurusha n.k
Haha sawa mkuu, kwa replay ya video za lile goli we unaonaje ni goli au la!Var ilijaribu kucheki kwenye kamera zao huko mkuu na hua wanawasiliana aisee, haiwezi toa pendekezo ambalo wao hawana uhakika mkuu, zigo linaangukia kwa refa. Labda kama unataka kusema kwanini refa hakwenda kwenye Tv ya var,
Mkuu kama wewe ni mwana yanga kwa chuma ile ya mamelodi ilikua haiamuliki na linakua sio tukio la kwanza kwenye mpira la namna ile. Ndo maana vitu kama goal line tech inatumika siku hizi mkuu.
Barca ashawahi kosa ubingwa laliga kisa disallowed goal la messi kwamba ni offside lakini replay tu kwenye tv ilikua inaonesha wazi haikua offside. Hiyo mechi wakakosa point 3 kwenyw hiyo mechi na ilikua mwishoni mwishoni yale maamuzi yaliikosesha ubingwa.
Kipindi hicho var laliga ilikua bado var ilikua epl
Tukutane next season huko cafcl. Mkuu
Au hata waamina wabilalaminaAu bismilah tawfiq
Hapa unanibana kwenye kona mkuu🤣🤣.Haha sawa mkuu, kwa replay ya video za lile goli we unaonaje ni goli au la!
😀 😀 😀 sawa mtani yashapita hata tujadili havirudi, nakusubiri umbonde Stella uende fainali nione una ubavu wa kutwaa hako kakombe au ndio utakimbia kama ulivyokimbia derby!Hapa unanibana kwenye kona mkuu
Mimi ni ubaya ubwela tu pale sikuhitaji hata kuangalia vizuri nikamsubiri refa akatae goli.
Huu ndo ukweri ndugu zangu
Tusubiri fainali mkuu😀 😀 😀 sawa mtani yashapita hata tujadili havirudi, nakusubiri umbonde Stella uende fainali nione una ubavu wa kutwaa hako kakombe au ndio utakimbia kama ulivyokimbia derby!
Amin [emoji1]Tusubiri fainali mkuu
Captain ana Room yake ya Kuongea na Refa na Kuraise Concern mana yeye ndio Kiongozi wa Kikosi uwanjaniMarefa wengine miyeyusho ukimzonga sana achelewi kukupa kadi nyekundu
Dah toto chawi hili.Hamna kitu ambacho sipendi kama kuona Simba inafanikiwa
Messi akisimama tu mbele ya refa, hapo hapo refa anamwambia Yes Sir!Mkuu kwani lazima kuongea kingereza ushawahi kumuona messi anaongea kingereza?