Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

Prove it
Hata kuongea tu nimefuatilia intetview zake hayuko vizuri,sijui ndio mnaita introvent sijui,
Binafsi ninaamini Zimbwe huenda amepewa nafasi hiyo kutokana na uwezo wa kubeba mikoba na si haiba ya uongozi wala ushawishi uwanjani kwa wenzake.
 
Prove it
Hata kuongea tu nimefuatilia intetview zake hayuko vizuri,sijui ndio mnaita introvent sijui,
Ni prove vipi na unaona mpaka sasa yeye ndio kiongozi kwenye timu na anaiongoza timu vizuri mpaka kufikia hatua iliyopo.
Zimbwe anaongea na wachezaji wake wakati na kabla hata ya mechi unaweza kusikiliza Interview yake baada ya mechi ya Al Masry dar alieleza wazi kuwa aliongea na wachezaji kadhaa akiwemo Mpanzu na Camara kabla ya mechi husika
 
Vipi wakati wa mechi
 
Binafsi ninaamini Zimbwe huenda amepewa nafasi hiyo kutokana na uwezo wa kubeba mikoba na si haiba ya uongozi wala ushawishi uwanjani kwa wenzake.
Mbeba maono
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili

Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu.

Kuna matukio mengi simba inaonewa na refa lakini zimbwe anakuwa mnyonge ,ataongea nini akiulizwa na refa,you know sometimes photocopy together ball in the hand.

Hii imeigharimu timu,jana lile kipa ngongoti lilidakia kpira nje ya bokisi, kibu ndio akawa anamshurutisha mwamuzi kwa ishahara,Kibu nae nadhani anajua lugha nyingi.muhamiaji halali.

Zimbwe inatosha kuwa Captain Thank You,kwanza hata kiwango chako kimeshuka

Kama mganga amesena Zimbwe ndio awe captain sawa ila aongeze ukali ,achangamke,amepoa kama supu ya kondoo
Sure mkuu hili hata mimi huwa najiuliza hivi hawa washika dau wa SSC hawalioniii,???
 
Eti kwamba?!...you know sometimes photocopy together ball in the hand.....kwamba?! We jamaa 😅
 
Vipi wakati wa mechi
Pia yupo vizuri nikupe mfano Captain wa Ahly El Shanawy huwa unamuona kwenye kila tukio anatoka golini kwenda kumzonga refa kushinikiza maamuzi?? Jibu ni hapana ila Ahly haishindwi kufanya vizuri kisa yeye kuwa kimya.
Wachezaji wenzake wakose nafasi za wazi timu ipate ushindi mwembamba zigo la lawama aangushiwe Zimbwe eti hashinikizi maamuzi hebu niambie ni maamuzi yapi yangebadilika kwa Zimbwe kushinikiza kwenye mechi ya jana?
 
Kuna matukio mawili,kuna beki wao aliunawa mpira ndani ya boksi,kuna kipa kudaka nje ya boksi,
Huenda yangabadili sura nzima ya mchezo
 
Hili kosa liliwagharimu Young Africans, goli lao linakataliwa kizembe captain anajing'atang'ata wakati ni obvious goal hata kumwambia acheki VAR
Ubuntu Bontho. 😂😂😂😂
 
Kuna matukio mawili,kuna beki wao aliunawa mpira ndani ya boksi,kuna kipa kudaka nje ya boksi,
Huenda yangabadili sura nzima ya mchezo
Wapi wewe tukio la kuangaliwa goli la simba uliona wachezaji wa Stellies wakimzonga refa si iliitwa kati baadae refa akaanza kufanya mawasiliano kwenye var baada ya wao kumuita.
HIvi unafikiri ukimzonga tu refa kwa maneno ndio anafanya maamuzi kukufuata wewe waulize Pyramids walipata nini juzi sauz na kumzonga kwao refa
Mechi ina Var unamzonga refa kizamani kiasi cha kupigwa hata yellow na maamuzi hayabadiliki yote hayo ya nini?
 
Back
Top Bottom