UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto.

Nimekuwa nafuatilia sababu nyuma ya baadhi ya matukio kadhaa nikagundua ujinga wenye ulimbukeni ni moja ya kichocheo cha matukio hayo.

Kumsomesha mchumba kwa lengo la baadaye aje kuwa mke na kuweka asilimia mia kuwa ni lazima atakuwa yeye huo ni ujinga wenye ulimbukeni ndio baadaye akibadilika unashindwa kukubaliana hali na matokeo yake ni kumuua/kujiua .

Usiwekeze kwenye mahusiano kiasi kwamba unafikia hatua ya kuona ni lazima awe yeye tu la sivyo hakuna maisha kama unataka kumsaidia fanya hivyo kwa manufaa ya jamii na sio kwa sababu akupende huwa kuna mabadiliko

Unaanzaje kumuona yeye ni Malaika? Yaani unamuamini 100% kiasi kwamba siku akikupiga tukio unakosa mlango wa kumsamehe, kumpuuza au kufanya maamuzi ya kuendelea bila yeye kwa sababu ulimuona kama mtu ambaye hawezi kufanya tukio na hali hiyo ya kupingana na ukweli ni moja ya sababu za kufanya maamuzi ya kushangaza.

Mpende ila bakiza asilimia za kukufanya uendelee mbele hata bila yeye na pasipo pia kumdhuru

Kesi za waalimu kubaka wanafunzi zimekuwa nyingi japo hata wasio waalimu pia wana matukio hayo na mwisho wa siku unajikuta kwenye miaka 30.

Weka mstari kwenye nani utahusiana naye na simamia huo msimamo wako hata kama wao ndio watakuletea mitego ila usikubali hisia zikuendeshe hapo kwa kujidanganya kuwa kwa sababu yeye ndio kajilengesha basi atakuficha usikamatwe , utakamatwa na atakuja kutoa ushahidi wa kuthibitisha

USIKUBALI KUWA LIMBUKENI WA MAHUSIANO, UTAJIKUTA KWENYE MATUKIO YA KUSHANGAZA

#Mwanasayansi Saul kalivubha.
#Fikia Ndoto Zako
 
Acha watu wauwane mkuu. Ulichokiandika mbona sio kipya. Nani hayajui hayo? Ila bado kuna watu wakipewa mbususu huwa wanavurugwa na kuhisi ile mbususu ni yake, anaimiliki na ataipiga peke yake forever and for always. Ndio hapo mtu anaanza kuingia gharama ambazo hayupo tayari kuzipoteza, mwisho wa siku ndwi kapiga mtu risasi😂
 
😊
 
Back
Top Bottom