Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933

Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.

Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.

Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.

Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝

Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy na kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.

#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa

Source Haji manara
 
View attachment 3278520

Huyu mzee kuwa Raisi pale TFF anajionaga kama Raisi wa dunia yan🤣
 
Hilo la kuchafuka angenyamaza, angesema tu watatumia media za Tanga kukuza tasnia ya habari nje ya vyanzo vilivyozoeleka. Wahusika wangejiongeza tu.

Hapa anachokifanya ni kuanzisha vita na media zenye nguvu na ni hatari, serikali kuu yenyewe ikitaka kudeal na vyombo vya habari huwa inajipanga maana inajua si jambo jepesi jepesi.
 
View attachment 3278520
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.

Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.

Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.

Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝

Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy na kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.

#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa

Source Haji manara
Haji ana matatizo na msongo kwa watu waliomzidi madaraka na kipato kifupi nakumbuka kuna kipindi alitaka kushindana na hersi mara akamvamia mo dewji ..ila hamuwezi karia kwa lolote kwa umjini mpaka serikalini.
 
Usijiweke kwenye angle ya mashindano angalia hiyo clip ilikuwa sahihi kwa karia kutoa kauli hiyo?!
 
Tanga kuna media moja ya kiislam redio maarifa, media zingine ni zipi zirushapo matangazo yao walau nusu ya nchi kama si tanga tu? Vipi wale wawakilishi wa media zilizoko dar na kwingine nchini wataruhusiwa kuandika na kuripoti habari kutoka tanga? Imekuaje karia anajenga bifu na media zingine kiasi cha kuanza kubagua media za kuongea naye? Media nyingi na kubwa zipo dar kwa hiyo hazitakiwi kuandika na kuripoti matukio yake kama rais wa TFF?
 
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.
Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.
Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.
Punguza povu
 
Karia kauvaa uhusika wa ubaya ubwela. Safi sana, nimependa hii. Waswahili ukienda nao kistaarabu sana wanakuona zezeta.
 
Back
Top Bottom