Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

View attachment 3278520
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.

Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.

Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.

Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝

Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy na kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.

#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa

Source Haji manara
Karia aliwekwa na magufuri kibabe
 
Wapuuzi ndiyo watasimama na mwehu Manara.
 
Yanga ndio team iliyonufaika na uongozi wa karia cha ajabu wao ndio wanaongoza kwa kulalamika sio kwenye league au kwenye derby.
 
Leo nimemsikia Juma Ayo na Mkami wakisema Karia ana shida kwenye kujieleza, hachungi ulimi. Huu ni ushahidi.
Na mara nyingi watu wa aina yake huwa wanakuwa na disorder fulani kwenye miili yao bila shaka. Kwa sababu haiwezekani kila unapo ongea lazima maneno yako yageuke na kuwa matapishi.
 
Wallace Karia kachoka kuongoza taasisi, kwa kulinda heshima yake ashauriwe aachie ngazi

Wallace Karia things are going out of his hand
 
View attachment 3278520
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.

Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.

Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.

Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝

Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy na kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.

#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa

Source Haji manara
#KariaMustGo

..Aje Manara!!
 
Una uhakika ukipewa nafasi ya Karia utaimudu?
Kiongozi wa taasisi haitakiwi uwe mropokaji unaishusha hadhi mamlaka yako inatakiwa utatue migogoro kwa Wakati na kwa hekima yaani kwakutumia kanuni zilizopo

Public figures have to keep their words
Viongozi wa kitaifa inatakiwa watunze kauli zao
 
Back
Top Bottom