Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.
Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la.
Naomba wataalamu mnisaidie kujua uhalisia wa jambo hili
Kielelezo 1: Picha ikionesha mmea umeachiwa mapovu
Kielelezo...
Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi...
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile...
Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga!
Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-
"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"
Je, ni kweli kasema maneno haya na...
Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra akiwa amejificha chini ya kiti chake.
Rudolf Erasmus alikuwa akiendesha ndege ndogo binafsi mapema wiki hii akiwa na abiria wanne kutoka jiji la Bloemfontein kwenda Pretoria...
Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo
Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua
walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k
wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k.
Samaki - wawe na magamba + mapazi
walioruhusiwa...
Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema.
Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k.
Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali...
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3...
Miaka mitatu nyuma nilishuhudia Mfuga Wanyama Mmoja maeneo ya Pwani akiuwawa (akipoteza) Maisha kwa Kuuliwa na Simba aliyekuwa akimfuga na waliyezoeana na Kushibana kabisa.
Hivyo hivyo zaidi ya mara Nne nimewahi Kusikia Watu Wanne tena Wataalam kabisa wa Kufuga Nyoka (Mijoka) na ambao...
MAMBAS ni aina ya nyoka wakali wapatikanao ktk dunia ya leo. Ni nyoka wenye sumu kali na wenye kasi ktk mwendo na wana sifa ya kutaga mayai (oviparous).
Kuna aina mbili za mambas :
1. GREEN MAMBAS.
2. BLACK MAMBAS.
Green mamba wanasumu aina ya NEUROTOXIC na HAEMOTOXIC. Wanaishi miaka 12 hadi...
Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani.
Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote kumiliki nyoka kipenzi imekuwa ndoto yake.
Staa huyo wa Bongo mwenye umri wa miaka 32 alimtambulisha...
Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning.
Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji?
Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
Habari za jioni,
Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana.
And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...
Wanasayansi wamegundua kuwa Nyoka wana Kisimi, hivyo kuvunja dhana iliyokuwepo kwa muda mrefu kwamba nyoka jike hawakuwa na kiungo hicho cha ngono.
Utafiti uliochapishwa leo Desemba 14, 2022 unatoa maelezo ya kwanza sahihi ya kianatomia ya sehemu za siri za nyoka wa kike.
Uume wa nyoka -...
IJUE NEHUSHTANI, NYOKA WA SHABA ALIYEABUDIWA NA ISRAELI.
Joka la Shaba alilitengeneza Musa jangwani na kugeuka kuwa mungu wa Israeli.
Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Bwana Yesu apewe sifa wapendwa. Ikiwa ni siku njema Bwana ametupa kibali cha kuiona siku hii ya leo, si kwa sababu sisi ni wema...
Nimekuwa nikijiuliza sayansi iliyoko katika lile jiwe ambalo watu hutumia mara waumwapo na Nyoka. Unaliweka sehemu husika na linanyonya sumu mpaka linapodondoka. Ni sayansi gani hapo inayofanya kazi? Wenye uzoefu please.
Lakini pia ile bangili ambayo husemekana inampumbaza nyoka. Inafanyaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.