Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.
Habari zenu wana Jamvi.
Nimefuatilia sana hili suala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui...
1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa
Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
Askofu Gwajima kwanza usife moyo kwa wewe kusimamishwa kuingia bungeni, binafsi naamini Mungu wa mbinguni anataka kukutumia kwa kazi kubwa zaidi.
Ni wazi dunia haijapata jawabu ndio maana kuingia Mecca kwa hija kuna chanjo maalumu zinazokubalika siyo zote.
Sasa kuna taarifa mpya kuwa sumu ya...
Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19
Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza kupambana na PLPro ambayo ni enziyamu ya Corona bila kuathiri seli nyingine, ufanisi wake ni 75%...
Wana JF, salaam nyingi.
SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA:
“Naongea na simu”.
Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini?
Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
Wasalaam,
Katika wale wote tunaofuata Iman ya Mungu mmoja ama mafundisho yanayofanana na kutofautiana katika sehemu chache
Haswa katika dini kuu Uislam ,Ukristo na Uyahudi.
Katika pande zote hizo tunaamini jambo moja juu ya huyu mungu wetu ya kwamba yeye ndiye mjuzi wa yote yaliyotekea na...
Msaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k.
Baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.