Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.
Mwamba amejitahidi kufikiria.
Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem".
Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine.
Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako
1...
Mgombea George Wajackoyah
Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga...
Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa.
Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine.
Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha kuwa na Partner, lakini kama huna basi tubadilishane mawazo huku JF kidogo.. vibe, hamasa na kutiana...
Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu?
Miaka...
Mwanaume mmoja katika maeneo ya Maryland huko Marekani amekutwa amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa akiwafuga.
Polisi wamesema kuwa wamekuta mwili wa mwamba huyo ukiwa chini huku kukiwa na nyoka zaidi ya 100 wenye sumu na wasio na sumu katika nyumba yake ambapo mwili ulipopimwa...
NANI ATASIMULIA HADITHI YA SHETANI BAADA YA KUSIKIA UPANDE WA MUNGU?
SEHEMU YA PILI:
Katika sehemu ya kaskazini ya Babilonia, HAWA alijulikana kuwa “Mungu wa Eden” (The Divine Lady of Eden) au “Mungu (wa Kike) wa Mti wa Uzima" (Goddess of the Tree of Life), wakikumbuka ibada ya Kiebrania ya...
Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa,
Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya...
Mida ya usiku pale kwenye geti la kutokea Tanzania kuingia Rwanda maafisa wetu wa forodha huwa wanafanya uzembe unaohatarisha usalama wa taifa letu kwa wao kwenda majumbani ama nyakati zingine kwenda kuangalia mpira na pengine kwenda bar na mhuri huo hapo juu huachiwa vijana wa ving'amuzi...
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji
Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.
Hii hali imedumu kwa miaka 3...
Paracetamol: Kwa nini dawa inayotumika kupunguza maumivu inaweza kutumika kuua nyoka?
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Serikali ya Marekani inatumia paracetamol, ambayo tunaitumia kupunguza homa kuua spishi ya 'Brown Tree Snake' katika kisiwa cha Guam.
Nchi hiyo imetumia miligramu 80 ya...
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.
Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.
Mganga...
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda:Serpentes (Nyoka)...
Waungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka.
Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona.
Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week...
KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna uwezekano mkubwa Rs berkane au Fs rabat(nafikiri wamefuzu) kuja kuua nyoka kwa lupaso
Mimbio ya kisinda...
Imekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana.
Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana!
Msaada tutani.
NB: Mimi ni muoga sana wa nyoka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.