Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.
Hii hali imedumu kwa miaka 3...