Katika mafanikio ya mchezaji, kuna kuujua mpira ila pia kuna bahati.
Bahati inaweza kukufanya upendwe hata kama mchango wako kwenye timu ni wa kawaida, bahati inaweza kukufanya upendwe na kila kocha, bahati inaweza kukufanya uwe unafunga mara kwa mara tena katika mechi kubwa, bahati inaweza...