nywele

  1. Harufu ya manukato porini na nywele kusisimka ina maana gani?

    Habari JF, Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama. Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
  2. Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

    Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena. Sasa, hizi za kwenye kwapa...
  3. Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

    Bila kupoteza muda, habarini wana JF. Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo. Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio...
  4. Ijue biashara ya nywele bandia faida na changamoto zake

    Habari wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
  5. Tunza vizuri sehemu za mwili wako zilizoota nywele

    Ni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu. Ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili pawe nadhifu katika uasili wake. Na ni vizuri zaidi kutumia vifaa vipya vya kunyolea kama vile nyembe...
  6. P

    In case you are using hair dye: Read carefully before going to salon. Kwa wanaopaka rangi nywele.

    Hair dye reactions Many hair dyes contain ingredients that can irritate your skin or cause an allergic reaction. It's important to be aware of this risk, and know what to do. Reactions to hair dye are avoidable if you follow some simple safety advice. This page offers advice to anyone who...
  7. Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza. Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti, ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi) Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena...
  8. Mkasa wa Marcelo kufuga nywele ili tu watu wasimchanganye na Robinho

    Baada ya Marcelo kwenda Real Madrid walikutana pale na Mbrazil mwenzake Ribson Robinho aliyekuwa star wa timu. Marcelo akiwa ananyoa kipindi hiko akajijuta anafanana sana na Robinho kiasi cha baadhi ya mashabiki kushindwa kuwatofautisha mpaka waangalie namba za jezi. Marcelo akaona isiwe tabu...
  9. Neema: Wenye vipara sasa kuoteshwa nywele

    Taarifa hii njema imetolewa na Hospitali ya Muhimbili
  10. Upasuaji wa urembo kuotesha Nywele kwenye Kipara wafanyika Muhimbili

    Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane. Akizungumza wakati wa kuhitimisha...
  11. Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

    -Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua. Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
  12. Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  13. G

    Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau!!

    Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana. Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
  14. Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

    Wanaume wenzangu karibu hapa tujadili ya yakale ya wazee wetu vijana wengi siku hizi hawana adabu wala hawataki kushika maneno ya wazee wao vijana wanyoa "QADHA" vijana wasiosikia la mzazi, vijana wabishi hakuna wasolijua, vijana waso na aibu wafiraji. Vijana waso na ubunifu wacheza kamari...
  15. Fahamu ugonjwa unaofanya mtu ajing’oe nywele zake kichwani

    Kujivutavuta nywele kwa kawaida huanza tu kabla au baada ya kubalehe. Wakati wowote, karibu 1-2% ya watu duniani wana ugonjwa huo. Takriban 80-90% ya watu wazima walio na trichotillomania ni wanawake. Mgonjwa anaweza kujihusisha na tabia hii kwa muda mfupi, wa mara kwa mara wakati wa mchana au...
  16. Kwanini kucha, nywele huendelea kukua hadi uzeeni na sio meno na viungo vingine?

    Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma. Sasa Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
  17. Washkaji wenye Afro mnafanyaje nywele zinakuwa nyingi kiasi hicho

    Habari 🖐 🖐 🖐 Kuna jambo naomba mnishauri, najua kuna watu humu mnajua mawili matatu kuhusu nywele. Mm nywele zangu kwa sasa zipo level hii(picha hapo chini) baada ya kuacha kunyoa takribani miezi nane(nanyoa tuu pembeni) Sasa mm matanio yangu ni kuwa na nywele nyingi sana(afro) kama mshkaji...
  18. Nauza mafuta ya kujaza na kukuza nywele

    CHEBE HAIR GROWTH OIL Yanajaza nywele Yanakuza nywele Yanazuia nywele kukatika Yanaondoa mba Yanafanya nywele ziwe nyeusi 100% organic _____________ Bei kwa 250mls - 15000 _____________ TUNAPATIKANA DAR,DODOMA NA ARUSHA Tunatafuta Mawakala kila kona SMS/WhatsApp/Call - 255769922210
  19. A

    Madhara ya matumizi ya super black kwenye nywele

    Matumizi ya super black dyes kwa ajili ya kupendezesha nywele yamekuwa maarufu sana hivi Sasa kwa Jinsi na Rika zote. Kwa ufupi yafuatayo ni madhara ya kutumia dye hizi ambayo ni vema tukafafahamu:- 1) Hupunguza uimara wa nywele na kufanya nywele kuwa laini zaidi. 2) Hupunguza uwezo wa nywele...
  20. Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…