Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko...