ofisi

  1. Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  2. Ofisi za mkuu wa wilaya ya Chalinze ziko wapi?

    Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
  3. Hizi ndio sifa za kazi

    I)Kama Kuna wi-fi ii)Hubadilishi nguo za kazi iii)kuna breakfast asubuhi Taja sifa zingine za kazi
  4. Ofisi za Makao Makuu ya Simba

  5. Ili ushinde kesi kirahisi, tafuta mwanasheria anayeshinda mahakamani kwenye ofisi za makarani.

    Kwani wana muunganiko mzuri na makarani na waheshimiwa mahakimu, infact ni timu ya ushindi wa haraka na mapema!. -Wana muunganiko wa karibu mno hata katika kupindisha sheria. # ILALA # KINONDONI # TEMEKE -Intelegency! -Tutaendelea kuanika zaidi hapa!
  6. H

    Ofisi za TRA wanasumbua kusaini au kugonga mihuri kupokea barua

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book. Hivi hii...
  7. LGE2024 Dar: Ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo, Viongozi na Wananchi wanateseka, Mamlaka chukueni hatua hii ni aibu

    Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo kabisa huku kati ya ofisi zenye huduma hizo baadhi vyoo vyake hivipo katika hali ya...
  8. Ofisi za Madereva wa Serikali ni zipi?

    Hakuna ofisi maalum ya madereva wa serikali (wakiwemo wa halmashauri na wizara mbalimbali) kutumia wakati wanasubiri mabosi wao watoke ofisini au kwenye mikutano ya kujenga taifa? Naona kama wanachoka sana, wengine utawakuta wanawasubiri mabosi wakiwa wamejibanza kwenye vibanda vya karibu vya...
  9. R

    Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

    Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa. Kukosa ajira ya...
  10. Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  11. Rais Samia aagiza Mtoto mwenye ulemavu wa mguu apatiwe Mguu wa Bandia kwa gharama za Ofisi ya Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
  12. Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  13. B

    Ofisi za crown FM zpo wap?

    Wakuu naomba kuuliza ofisi za crown FM radio zpo wapi? Nikaombe Kaz na mm ya photographer na videographer na uandaaji wa vipindi Mwenye kufahamu anokuze .. ,🙏🙏
  14. W

    Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

    Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
  15. D

    SoC04 Maberesho ofisi ya CAG

    Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka kiongozi au mkuu wa taasisi baada ya kujiridhisha alifanya/amefanya ubadhirifu. Hii itaondoa dhana...
  16. Naomba connection ofisi ya utumishi wa umma

    Wakuu naomba mtu atakayeweza kunipa connection pale ofisi ya utumishi wa umma. Nataka nipate mtu pale anisaidie kupush jambo langu la uhamisho/kubadili kada
  17. Hivi ni kweli ofisi ya DPP wamekuwa blacklisted uteuzi wa Ujaji?

    Kuna malalamiko yamekuwa yakisambaa kitambo sasa, binafsi kuna siku nilitoka mahakamani nikawa kwenye lunch na mawakili kadhaa, miongoni mwao walikuwepo wa DPP. Nikachomeka, ati mbona kila mkeka wa majaji hatuoni mawakili wa DPP,(niliongea kwa kebehi tu nione mawakili wa serikali tulikua nao...
  18. Karibuni Banana, Dar tumefungua ofisi mpya ya wanasheria, washauri wa kodi na wahasibu

    Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia; 1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara 2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC) 3. Tunafuatilia leseni, TIN, number 4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal 5. Maandalizi ya...
  19. Ofisi za TRA kuwa wazi tarehe 15 na 16 Juni,2024

    Ofizi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) zitakuwa wazi siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni,2024 na Jumapili tarehe 16, Juni 2024.
  20. M

    Naomba kuuliza ili kufungua ofisi za mkopo unahitaji nini na nini?

    Naomba kuuliza Ili kufungua ofisi za mkopo Unahitaji Nini na nini? Kwa mawasiliano Zaidi 0678035103
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…