Ndugu zangu naomba kujua zilipo ofisi za EWURA hapa Dar es Salaam.
Nime-Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower, Sam Nujoma Road na simu zilizopo kwenye tovuti yao hazi patikani.
Tafadhali kama unajua zilipo pamoja na namba...
Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa tuhuma za kuunga mkono harakati za wanamgambo kaskazini mwa Mkoa wa Cabo Delgado, shirika la habari la...
MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu.
Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote).
1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma.
Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
Anonymous
Thread
afya
bima
bima ya afya
changamoto
huduma
katika
nhif
ofisi
taifa
MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.
"Ushauri wetu Wabunge utasaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa Vipaumbele ambavyo...
MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.
"Natoa pongezi za dhati kwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna...
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi...
Vijana wa chadema walipokwenda Rufiji Mkuu wa wilaya alijibu kimzaa kwamba tatizo siyo kubwa. Waliposema wataanza kurusha picha za hali ilivyo serikali imeshtuka imepeleka mawazri na watendaji wengine wengi.
Serikali inachokosa ni TUME YA KUKABILIANA NA MAJANGA; Duniani kote walipofanikiwa...
Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza.
Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo.
Njia...
Anonymous
Thread
kwanza
mwenzetu
ofisi
sheria
taarifa
uharibifu
yuko
https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa...
Niliwahi kusikia baadhi ya watumishi katika taasisi au mashirika fulani fulani hawana cha kufanya ofisini ni kama kula tu mshahara wa Bure na kula umeme tu wa serikali. Kama ni mtu mzima anayekaribia kustaafu Sawa maana alitumika amechoka acha akakae tu ofisini apulizwe feni na AC, anywe Chai...
Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo
Sabodo aliyefariki Alfajiri ya kuamka leo atazikwa leo saa 4 usiku kwenye Makaburi ya Kisutu
INNALILLAH...
Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.
Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated.
Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi.
Asante
Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima.
Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana
Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.