Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Tumefika pahala pa kuchekwa na Rwanda?!Hawana kazi ya kufanya vilaza hao, ndio maana Kagame anatucheka sana
Hawataweza Kwan ni mara ya kwanza kumkamata Melo?Habari za kutafutwa Max sio nzuri kwa member wote wa JF, msizichukulue poa. Akidakwa akabinywa akatoa ruhusa waingie mlango wa nyuma kwrnye privacy zetu watatudaka wengi.
Wakati Max anachukua tahadhari nanyi member mewe mnajiandaa kulinda usalama wenu.
JF siyo waandishi wa habari wao hutoa platform tu, waandishi ni sisi.
Usikute anatafutwa mnyetishaji wetu wa habari za mamaA.
Muwe makini wanasema hata Punda huwa anakiwango cha mzigo anaweza kuvumilia ukizidisha haamki.
Maumivu ya torture chamber wachache wanaweza kuyavumilia, basement mjini humu na siyo za wale wataalamu wa kule majuu hizi ni zetu.
Wao wanajua watatawala mileleLaiti Msigwa angelijua kuna maisha baada ya awamu ya sita, hakika angelichunga sana ndimi yake na kujitahidi kuwa mkweli.
Wanataka apandishe nyuzi za ccm na kafulila wao, zetu zishushwe, ama akubali au afungiwe.Hawataweza Kwan ni mara ya kwanza kumkamata Melo?
Hawa viongozi kilichobaki ni kuwasomea albadiri tu kama sio kuwaroga kabisa
Huyu Msigwa Gerson hana akili, maofisa wa serikali wanavamia ofisi za watu kwa nguvu. Wamefanya hivyo baada ya kuona Mama ametolewa hapa kwenye picha na yule jamaa mzimbabwe. Upumbavu mtupu, kwani tulimwambia Samia apige picha za kijinga? Halafu mbwa wengine wanatumwa kuja kufunga website inayoongea kwa uhuru.....Mmeshafungia magazeti, mmebakiza magazeti ya kumsifu mama. Nchi ya ovyo sana, kuweka watu kama Msigwa na wenzake kunaifanya nchi iendelee kuwa ya uozo. Mwambie huyo Samia wenu kama hataki kusemwa asingegombea urais....Ni haki yetu kumsema. Hata mfalme anasemwa seuze yeye? Acha upumbavu wewe Msigwa....huna weledi, umetoka Mafinga bado Tongo tongo hazijakuisha.....Rudi kwenu kalime, hufai kuwa kiongozi wa aina yoyote.