Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

Habari za kutafutwa Max sio nzuri kwa member wote wa JF, msizichukulue poa. Akidakwa akabinywa akatoa ruhusa waingie mlango wa nyuma kwrnye privacy zetu watatudaka wengi.

Wakati Max anachukua tahadhari nanyi member mewe mnajiandaa kulinda usalama wenu.

JF siyo waandishi wa habari wao hutoa platform tu, waandishi ni sisi.
Usikute anatafutwa mnyetishaji wetu wa habari za mamaA.

Muwe makini wanasema hata Punda huwa anakiwango cha mzigo anaweza kuvumilia ukizidisha haamki.

Maumivu ya torture chamber wachache wanaweza kuyavumilia, basement mjini humu na siyo za wale wataalamu wa kule majuu hizi ni zetu.
JAmaa una akili sana..hii issue sio ya melo ..walengwa haswa ni members..ndio mana mimi mapeeema kabisa nalinda kende zangu kwa kuchunga domo langu na midole isi type ujinga.. au nasema uongo ndugu zangu leo dada Numbisa ???
 
Mexcence Melo si untouchable. Atoe ushirikiano. La sivyo na asije kuanza kulialia kama wengine. Atoe ushirikiano mambo yeshe. Ninyi mnaojifanya mnamtetea Melo mnamwingiza mkenge tu. Hamkusaidia Lissu, Mdude wala Askofu Gwajima.
Ivi watu wam love melo kabisakabisa hana ujanja wa kuwakwepa..!! Melo anaweza kuvumilia plaiz ya maeneo.??? Jibu ni hapana
 
Hawataweza Kwan ni mara ya kwanza kumkamata Melo?

Hawa viongozi kilichobaki ni kuwasomea albadiri tu kama sio kuwaroga kabisa
Acha kujipa moyo wewe...yule akishikwa hana ubavu wa kujizuia..hakuna mkakamavu kwenye kubinywa kende
 
Barua ya wito huo au SUMMONS ni hati ya kisheria hutolewa na jaji kumpelekea mlalamikiwa.

Sasa Ikulu wana husikaje na mambo ya wito wa kisheria ikiwa ni kweli kuna summons letter, na siyo lazima umkute mlalamikiwa unaweza kuiacha ofisini au nyumbani kwa mlalamikiwa, akiipata ana report alipoitwa.

Ikiwa atakaidi wito huo ndiyo sasa inatolewa warrant of arrest letter kumkamata mtuhumiwa popote anapopatikana nchini.

Kama huo utaratibu haujafuatwa huo ni uhuni.
Acha uoga mtoto wa kiume unakua muogamuoga mijitu kama nyie ndio mnaipa ccm kichwa shenzi yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi je road itakuaje
 
Back
Top Bottom