Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

Mexcence Melo si untouchable. Atoe ushirikiano. La sivyo na asije kuanza kulialia kama wengine. Atoe ushirikiano mambo yeshe. Ninyi mnaojifanya mnamtetea Melo mnamwingiza mkenge tu. Hamkusaidia Lissu, Mdude wala Askofu Gwajima.
Untouchable or not, we ain’t retreating. Mpumbavu gani ajipeleke kutekwa, mlipojitambulisha mkamshusha Ali Kibao kwenye basi vizuri kabisa kwa kuwa aliwapa ushirikiano and guess what?!?! It’s better to die fighting na si kujipeleka kama kuku mwenye mdondo.
 
Sasa wewe shujaa na sio muoga kafanye harakati hizo live mtaani ..wahuni tunajua mipaka yetu...inawezekana mtaani mimi nawewe tukionana..wewe ni mtoto wa mama kabisaaaa😃😃😃.... leo dada
We kama umekua muoga humu tu je mtaani live si ndio punga kabisa mitanzania mioga sana Yani humu tu unajambajamba hivi je ukioneshewa Bomba la bunduki usoni si utajinyea bila mpangilio
 
Sawa mimi hata ukiniita mama nakubali...ila hao jamaa sio watu wazuri ukiingia anga zao..Usilete ushujAa wa jack chan kwenye maisha halisi
We ni lioga sana yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi aisee kazi ipo Kwa akili hizi za uoga Hadi mtandaoni live si ndio utajinyea mavi debe
 
Namshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
We ndio fala mkubwa, hakuna anayetukana, ila wanaeleza jinsi mtu alivyo.
Mfano huo hapo juu. Huwezi sema nimekutukana, nimeeleza jinsi ulivyo
 
We ni lioga sana yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi aisee kazi ipo Kwa akili hizi za uoga Hadi mtandaoni
Sawa wakija kukupaka mafuta ukiwa peke yako bila moderators wala founder wa JF kuwa karibu ndio akili itakukaa sawa
 
Tunasemaga humu kula siku hawa TISS ni kundi la vilaza hawana merit yoyote ya kuitwa usalama wa taifa, kwanza wote wana vitambi na kaunda suti zao, unakwenda kuvamia chombo cha habari za mtandao.
Hawana kazi ya kufanya vilaza hao, ndio maana Kagame anatucheka sana
Rabaika
 
Sawa..wewe ambae sio muoga jitokeze mtaani...
Kwani hapa ni mtaani tunaongelea hapa kama umekua lioga hapa sehemu amabayo hata risasi haikugusi ila unajinyea Kwa kusikia jamaa wamevamia jamii forum head quarter nakutazama jinsi Gani ulivyokua punga aisee
 
Mexcence Melo si untouchable. Atoe ushirikiano. La sivyo na asije kuanza kulialia kama wengine. Atoe ushirikiano mambo yeshe. Ninyi mnaojifanya mnamtetea Melo mnamwingiza mkenge tu. Hamkusaidia Lissu, Mdude wala Askofu Gwajima.
Kwa hiyo mnatafuta muumpe vinyeo vyenu
 
Tunasemaga humu kula siku hawa TISS ni kundi la vilaza hawana merit yoyote ya kuitwa usalama wa taifa, kwanza wote wana vitambi na kaunda suti zao, unakwenda kuvamia chombo cha habari za mtandao.
Hawana kazi ya kufanya vilaza hao, ndio maana Kagame anatucheka sana
TISS = UVCCM
Toka walipoanza kuwa wanajiokotea vitoto vya UVCCM na kuvichomeka TISS ndipo professionalism ilipopotea jumla.
 
Kwani hapa ni mtaani tunaongelea hapa kama umekua lioga hapa sehemu amabayo hata risasi haikugusi ila unajinyea Kwa kusikia jamaa wamevamia jamii forum head quarter nakutazama jinsi Gani ulivyokua punga aisee
Thank you madam
 
We ulishapakwa mafuta na uliruhusu vipi mtoto wa kiume upakwe mafuta aisee kumbe ndio maana umekua lioga hivi kumbe uliuponza
Sasa wewe mtoto wa kiume jitokeze mtaani..umekaa kwa shoga zako una type uharo😀😀😀
 
Back
Top Bottom