kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Huyu naye si alikuwa chadema, kweli pesa mwanaharamu
What is kuwasilisha Barua ukweli tutaujuatitomagoti kamjibu vizuri sana huyo pimbi
Yule aliekua CHADEMA ni Peter MsigwaHuyu naye si alikuwa chadema, kweli pesa mwanaharamu
Eeeh! Stress hizi hadi nachanganya mafailiYule aliekua CHADEMA ni Peter Msigwa
Hasa weweNamshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
Kesho mzee Kibao anatimiza mwaka 1 tangu atekwe na kuuwawa na kutobolewa macho.Namshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
Anajua ukweli ni dharau tu....asichofahamu muda ni mwalimu wa ukweli atashangaa sana....Kwamba Maxence katika umri wake huu kuanzia enzi za mitafaruku ya Jambo forums hadi kuja huku JF 2008 na katika umri wake wa 40+ asijue tofuati kati ya UGENI na UVAMIZI?
Msigwa anachukulia watu bado wako enzi zile za zidumu fikra za mwenyekiti .
Nilisikia eti alikuwa anapiga mke wa mtu, ni kweli?Kesho mzee Kibao anatimiza mwaka 1 tangu atekwe na kuuwawa na kutobolewa macho.
Polisi wamemkamata nani aliyeshiriki tukio hilo?
Wewe ulikuwa ndio mke mkubwa eh kwa huyo mtu hadi ukaplot mauaji?Nilisikia eti alikuwa anapiga mke wa mtu, ni kweli?
Wewe ulikuwa ndio mke mkubwa eh kwa huyo mtu hadi ukaplot mauaji?
Uzinzi mbaya sanaWewe ulikuwa ndio mke mkubwa eh kwa huyo mtu hadi ukaplot mauaji?
Ndio ujinga mnaojazwa huko Lumumba ?Uzinzi mbaya sana
Kwanza nikuulize kati ya yafuatayo ni lipi linalokuhusu wewe; kwa sababu sikujui:Hilo sasa si uwaulize waliowasilishiwa, mbona unatuuliza sisi? Instinctive reaction ya Msaliti ni kutukana na jambazi kukimbia, ya Rais mwema ni kutoa ushirikiano.
Waziri wa kuteka wananchi wa Tanganyika na kuwabaka, kuwalawiti na kuwaua. Amepewa ruhusa ya kutumia wafungwa kufanya mauaji. Mshenzi huyo. Watanganyika amkeni,.....la sivyo tutaonewa na hayo mapumbavu.Waziri wa Kazi maalum.
Lini and when umesikia max amewahi kuwa chadema?Huyu naye si alikuwa chadema, kweli pesa mwanaharamu