Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

JAmaa una akili sana..hii issue sio ya melo ..walengwa haswa ni members..ndio mana mimi mapeeema kabisa nalinda kende zangu kwa kuchunga domo langu na midole isi type ujinga.. au nasema uongo ndugu zangu leo dada Numbisa ???
Hawana nameno mengi wao ni ku like na comment fupi fupi tu.
Ila nusu ya wana jamii forums wangekuwa hivyo au robo tu hili jukwaa lingekuwa halipo, lipo hapa kwa maoni mazito ya wanachama.
 
Ni muda sasa wa Max kwenda zake US na ofisi zifungwe wafanyie kazi sehemu nyingine sio home. Ikiwezekana wahame....
 
Kajikanyaga mwenyewe, jana ilikuwa siku ya mapumziko kwanini wasingesubiri jumatatu?
 
Msigwa ni mtu mshamba sana ..alafu anaongea kama yeye ni alfa na omega....
Asichofahamu watu wameshika button zake nyingi tu...wakiamua tu ameumia...
 
Hawana nameno mengi wao ni ku like na comment fupi fupi tu.
Ila nusu ya wana jamii forums wangekuwa hivyo au robo tu hili jukwaa lingekuwa halipo, lipo hapa kwa maoni mazito ya wanachama.
Utaona tu comment zao mfano.... (aisee...kumbe. kazi kwelikweli)😀😀😃
 
"Maafisa wa serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums" Gerson Msigwa.

Barua ya wito kwa jambo gani; na ushirikiano upi anaotakiwa kuutoa Maxence?

Itakuwaje JF waseme "uvamizi" kwa maofisa wanaokwenda kuwaslisha barua ya wito?
Barua haipelekwi na mitutu ya bunduki, kuna namna ya kupeleka wito
Mfano fomu inayojulikana kama 'Police Form (PF) 130' hupelekwa. Fomu hii huonyesha jina la afisa anayekuita, namba ya simu yake, sababu ya wito, na tarehe na saa ya kufika.

Na hupelekwa si kwa majeshi na vurugu, muwakilishi mmoja hufika na ujumbe huo

The mengine hufuata


So yes ni uvamizi, hakuna taratibu zilifuatwa
 
Ttg
 

Attachments

  • IMG-20250906-WA0000.jpg
    IMG-20250906-WA0000.jpg
    13.8 KB · Views: 22
"Maafisa wa serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums" Gerson Msigwa.

Barua ya wito kwa jambo gani; na ushirikiano upi anaotakiwa kuutoa Maxence?

Itakuwaje JF waseme "uvamizi" kwa maofisa wanaokwenda kuwaslisha barua ya wito?


Interesting....kama walikuwa na barua ya kupeleka ofisini siku ya public holiday, itakuwa barua ya maandishi makubwa 😂😂😂😍
 
Back
Top Bottom