kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Msigwa siyo MaxLini and when umesikia max amewahi kuwa chadema?
With vivid evidence
Msigwa siyo MaxLini and when umesikia max amewahi kuwa chadema?
With vivid evidence
Hivi unaweza kufuta post umu jukwaani ambazo uliposti zamani? daah maana maji yashakorogekaHabari za kutafutwa Max sio nzuri kwa member wote wa JF, msizichukulue poa. Akidakwa akabinywa akatoa ruhusa waingie mlango wa nyuma kwrnye privacy zetu watatudaka wengi.
Wakati Max anachukua tahadhari nanyi member mewe mnajiandaa kulinda usalama wenu.
JF siyo waandishi wa habari wao hutoa platform tu, waandishi ni sisi.
Usikute anatafutwa mnyetishaji wetu wa habari za mamaA.
Muwe makini wanasema hata Punda huwa anakiwango cha mzigo anaweza kuvumilia ukizidisha haamki.
Maumivu ya torture chamber wachache wanaweza kuyavumilia, basement mjini humu na siyo za wale wataalamu wa kule majuu hizi ni zetu.
Hawataki kuziona picha hizi...
Ndiyo unaweza.Hivi unaweza kufuta post umu jukwaani ambazo uliposti zamani? daah maana maji yashakorogeka
Kama mtu alii reply kama hivi, haiwezi kufutika.Hivi unaweza kufuta post umu jukwaani ambazo uliposti zamani? daah maana maji yashakorogeka
Uoga uko wapi hapo, nimeeleza ninachokifahamu au umeelewa vipi wewe?Acha uoga mtoto wa kiume unakua muogamuoga mijitu kama nyie ndio mnaipa ccm kichwa shenzi yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi je road itakuaje