ogbv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, unajua matusi na udhalilishaji mtandaoni inaweza kukugharimu mamilioni?

    Mahakama Kuu ya Tabora iliamuru muathirika wa udhalilishaji mtandaoni kulipwa Tsh 3,500,000/= kama fidia kutokana na jumbe (SMS) za matusi alizotumiwa. Unafahamu namna ya kuripoti unapokutana na udhalilishaji mtandaoni? == Hawa Selemani @ Ramadhani v. Zuena Ramadhan [2014] Kesi hii ilikuwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto: Sihitaji huruma ila Juma Lokole na Maimartha wananibully mtandaoni

    Hamisa Mobetto awataka Juma Lokole na Maimartha kuacha kumfanya kuwa content ameeleza kuchoshwa na kile alichodai kuwa ni bullying na harassment dhidi yake pamoja na familia yake kwenye mitandao ya kijamii mpaka imefikia hatua ya kumtumia ujumbe Dkt. Gwajima D ili ashughulikie swala hilo...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UN: Wanawake 7 kati ya 10 wanakumbana na ukatili wa kijinsia mtandaoni

    Ripoti mpya ya UN Women yenye kichwa "Chukua Hatua Sasa Kukomesha Ukatili Dhidi ya Wanawake" imebaini kuwa asilimia 70 ya wanawake walioshiriki utafiti wamewahi kukumbana na ukatili wa mtandaoni wakati wa kutekeleza majukumu yao. Aidha, asilimia 41 walisema unyanyasaji huo uliendelea hadi nje ya...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Maneno ya chuki hayaumizi hisia pekee, huharibu maisha na taaluma

    Anastazia alikuwa mwenye ndoto ya kuwa mwanasiasa mkubwa. Alizaliwa akiwa na kasoro ya kimwili kwenye uso wake, lakini hakuwahi kuruhusu hali hiyo imzuie kutimiza ndoto yake na kushiriki shughuli za kijamii. Baada ya picha zake kuanza kusambaa mitandaoni, baadhi ya watu walianza kumkejeli na...
Back
Top Bottom