Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Hamisa Mobetto awataka Juma Lokole na Maimartha kuacha kumfanya kuwa content ameeleza kuchoshwa na kile alichodai kuwa ni bullying na harassment dhidi yake pamoja na familia yake kwenye mitandao ya kijamii mpaka imefikia hatua ya kumtumia ujumbe Dkt. Gwajima D ili ashughulikie swala hilo.
Kupitia Instagram Story, Hamisa amesema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara kwenye platforms zinazohusishwa na Juma Lokole na Maimartha, akisisitiza kuwa maisha ya mtu hayapaswi kufanywa burudani au content bila kuzingatia madhara yanayoweza kutokea.
Hamisa, ambaye ni mama wa watoto wawili, amesema hali hiyo imeanza kumuathiri kihisia na kuomba yeye pamoja na familia yake waheshimiwe. “Bullying sio burudani. Harassment sio content. Na kumuumiza mtu mwingine sio kitu cha kufurahisha,” amesema Hamisa.