Hamisa Mobetto: Sihitaji huruma ila Juma Lokole na Maimartha wananibully mtandaoni

Hamisa Mobetto: Sihitaji huruma ila Juma Lokole na Maimartha wananibully mtandaoni

Lisemwalo lipo kama halipo laja sijawahi ona tununu akilalamika hivi. Zamani alijiweka kimwamba zaidi ila kwa sasa something fishy somewhere, hadi huruma
 
Ila sio kwa Hamisa Mobetto umalaya wake wa wazi ndio unaomfanya watu wambully
Hear me out, bullies huwa hawana sababu ya kufanya bullying ni mambo yao binafsi ambayo ni internal.
1.Insecurities (kufanya bullying kunawapa nafasi ya regulate self esteem yao.
2.kutafuta social approval (ego boost watu wakicheka na kushabikia)
3. Entertainment/excitement hapa tunawapata cyber bullies wote (mfano akina juma lokole& Maimatha)
4.Kutafuta control (bullies wengi wanaamini they can make you bow na kuwa loyal kwao wakikubully vizuri yakakuingia)
5. Pesa; kuna watu wanafanya hii kama ajira.

Kwahiyo usiseme Hamisa anakuwa bullied sababu ya lifestyle sijui umalaya, hii sio sababu, kwani wamemzaa hamisa mpaka wawe concerned kuhusu maisha yake? Nyumbani kwao hamna malaya? Wao ni polisi wa umalaya?

Bullying ni internal self battle.
 
Wabongo wengi wanapenda sana hii cyberbully.

Wamemfanyia Charlene Ruto na mumewe, wamemfanyia Juma Jux na mkewe. Sasa Hamisa.

Sawa, inawezekana kuna watu wengine kama Hamisa wanajiweka public sana wenyewe na kujifanya target, lakini hilo halihalalishi excessive cyberbullying.

Mtu kuwa maarufu kutokana na kazi yako haihalalishi uwe cyberbullied.
Bongo cyberbulling ni kama imeshahalalishwa na Watu wanaifurahia na kuifuatilia
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja sijawahi ona tununu akilalamika hivi. Zamani alijiweka kimwamba zaidi ila kwa sasa something fishy somewhere, hadi huruma
Ndoa!!! Ukiwa singo hakuna shida, shida inaanza pale unapokuwa na mwenzi. Nilishaambiwaga kuwa uradical wako hakuna anayeukataa au kuupinga, lakini kumbuka kuna watu nyuma yako wanaathirika na matokeo ya uradical wako, hapo nilikuwa nimetimuliwa kazi sababu ikiwa kuwa Ngangari.
 
Umaskini sina weee vipi, hicho kikombe kiniepuke baki nacho niliapa kukimbia umaskini ktk maisha yangu.

Endelea kuwa wakili wakeeeeee!!!!!°
Umasikini si lazima wa pesa hata wa akili.

Ukishakaa kumfuatilia Hamisa Mobeto maisha yaje yako vipi, ana bwana gani, kafanya nini, ili umchambe, wewe masikini tu hata ukiwa na mabilioni ya pesa.

Tena bora umasikini wa pesa kuliko wa akili.
 
Haiba yake haifanani na matendo yake ukikaangalia kapole lakini mambo anayoyafanya ni ya kimalayamalaya mke wa mtu gani unazurura mwenye club za usiku alafu unakatakata mauno ovyo ovyo kama unatafuta mabwana yaani Azizi Ki kujichanganya sana kwa huyu manzi Wanaume wa bongo wamemzalisha na kumbwaga yeye anajikuta nani sijui anaubeba huu msalaba
Acheni watu waishi maisha yao, wakishindwana na mumewe watatemana wao!
 
Umasikini si lazima wa pesa hata wa akili.

Ukishakaa kumfuatilia Hamisa Mobeto maisha yaje yako vipi, ana bwana gani, kafanya nini, ili umchambe, wewe masikini tu hata ukiwa na mabilioni ya pesa.

Tena bora umasikini wa pesa kuliko wa akili.
Mimi simjui bwana wake labda uniambie wewe mi nimesema ndoa yake halali. Kama wee unajua bwana zake hongera.
 
Wanafanya vibaya sana kuingilia privacy za watu ,unaweza ukafanya content bila kuathiri UTU wa mtu.

Azizi Ki akiona mke wa pili kwani kuna SHIDA? Kama MOBETTO karidhia huyo CHOKOSTICK Juma na Maimartha GRIDI wanakereka na nini? Walitaka waolewe wao?

Privacy? Huyu Hamisa alitusimulia alivotoa mimba tatu za Diamond. Tena ameza na matajiri. Tena juzi tuu kamzungumzia mama Dangote. Tena harusi ya very public. Hatukumtoa Chumbani na kumlazimizsha kuweka maisha yake public. We are invested.
 
Pole sana Hamisa..

Hao wajinga siku moja watapata dawa yao..

Hilo lijuma lokole limekuwa lisadist baada ya kuwa gay kwenye gay-hostile society..

Jinsi anavyokuwa rejected ndivyo anavyoona na wenzie wawe hivyo hivyo..

Mimi naomba serikali ichunguze content zake ...sababu hata wema sepetu alilia kuhusu huyu mtu kupitiliza, sio kwamba mpaka mtu ajiue ndio action ichukuliwe..

Mnaowadhalilisha sio kwamba wametokea kwenye miti, wana mama, baba watoto na ndugu mnaowaumiza pia. .

kabla hujaandika upuuzi kwa mtu mwingine huku online jiulize hio RIGHT ambayo unajiona unayo kuongea mbovu umeitoa wapi??? Mbona huguswi kwenye mambo yako...??..na kuwa kila mtu ana right to privacy..kama ambavyo usingependa uingiliwe kwenye lifestyle choices zako ndivyo wengine hivyo hivyo..
 
Back
Top Bottom