Anastazia alikuwa mwenye ndoto ya kuwa mwanasiasa mkubwa. Alizaliwa akiwa na kasoro ya kimwili kwenye uso wake, lakini hakuwahi kuruhusu hali hiyo imzuie kutimiza ndoto yake na kushiriki shughuli za kijamii.
Baada ya picha zake kuanza kusambaa mitandaoni, baadhi ya watu walianza kumkejeli na...