Jamaa ameumizwa sana kwasababu tu alitaja Tanganyika. Imagine, tangu enzi Wazanzibar wapo huru kujivunia Zanzibar na kupigania Zanzibar, wana serikali yao, bunge lao, lakini mtu wa Bara akitaja Tanganyika anachokutana nacho ni hatari tupu.
Hutakiwi kujiita mtanganyika, ila wengine wajiite tu...