Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi.
Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...