Mchambuzi wa masuala ya siasa, Paternus Niyegira, amesema kuwa wananchi ndio wenye mamlaka kuu ya kuwawajibisha viongozi kwa sababu wao ndio waliowapa mamlaka hayo kupitia mkataba wa kijamii na katiba. Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Septemba 16, 2026, Niyegira amesisitiza kuwa...
Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi, Paternus Niyegira, akizungumza katika mahojiano na Crown Media mnamo Julai 14, 2026, amesema kuwa hakukuwa na haja Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa tamko kuhusiana na Makala iliyotolewa hivi karibuni ya BBC kwa kufanya hivyo inabidi ijiridhishe kwanza kuwa...
Paternus Niyegira Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi amesema kauli za baadhi ya viongozi wa serikali zinakosa utashi na staha katika uwasilishaji wa hoja zao kwa wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Crown Media mnamo Julai 14, 2026, Niyegira ameeleza kuwa Jambo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.