peke yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangao Kenya: Spika ajikuta peke yake bungeni

    Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa. Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
  2. R

    Kwanini viongozi walioshiriki kupokea ripoti ya haki Jinai hakuna aliyekuwa anatake note isipokuwa President peke yake?

    Ni sahihi kwa viongozi kuingia kwenye kikao cha Mhe. Rais bila diary wala note book? Au protokali ndio inataka hivyo? Na kama ni protokali mbona Mhe. Rais alikuwa busy kusikiliza na kuandika? Baadhi ya viongozi wanaonekana kwenye TV wamelala kabisa. Enzi ya utawala wa Mwalimu na hata utawala...
  3. D

    Ukiona mtu anayeamini kuwa yeye ndo ana akili peke yake muogope kama ukoma

    Nimekuwa nikimsikia Slaa kila mara akimsema yeyote anayempinga kuhusu upotoshaji wake eti siyo size yake. Majuzi tu alimwambia rostam Aziz eti siyo size yake na Leo kamwambia Feleshi eti siyo size yake na ikumbukwe aneshamwambia Nape eti siyo size yake na kuna siku alimwambia Zitto eti siyo size...
  4. Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

    Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu. Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu. Maana napenda pia...
  5. K

    Hatukusaini Mkataba wa Bandari peke yake; iko mikataba 36 ambayo hatujawekwa wazi?

    Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Wakati mama amekwenda kwenye maonyesho ya Dubai tulisaini hati 36 za makubaliano. Hadi sasa tumeelezwa mmoja tu wa bandari, mingine ni ya nini? SOMA HAPA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetia saini Hati za Makubaliano (MoU) 36 wakati wa...
  6. Kama unampa pesa kila mnapofanya mapenzi, hapo mimba ikiingia ni yake peke yake.

    Habari! Kama kichwa kinavyosema. Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe. Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila...
  7. Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

    Jifunzeni kwa Simba, ukiangalia mgawanyo wa ufungaji kwenye Simba, utagundua kwamba wafungaji ni wengi na siyo timu nzima kutegemea mfungaji mmoja tu.
  8. Biashara mikoani zitakufa, Dar peke yake ndiyo itabaki ikifanya biashara

    Mambo mawili yanaua biashara mikoani na kukuz biashara Dar. 1. Mitandao ya kijamii. 2. Urahisishaji wa kusafirisha bidhaa. 1. Mitandao ya kijamii imerahisisha sana mawasiliano ya muuzaji na mteja Imerahisisha sana namna ya kutangaza biashara. Mteja anaweza kuona biashara maduka mbalimbali na...
  9. Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

    Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema. Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula...
  10. Kwanini Marekani haingii peke yake uwanja wa vita anavyovianzisha?

    Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
  11. Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

    UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA? Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere. Ubishi uko katika bidhaa...
  12. Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  13. Usimuache mtoto peke yake kwenye gari. Joto linaweza kumuua

    Haushauriwi kumuacha mtoto mwenye umri mdogo akiwa peke yake kwenye gari huku madirisha yakiwa yamefungwa hasa wakati wa jua kali au baada ya kuendesha gari husika umbali mrefu. Hali inayoitwa Heat Stroke inaweza kutokea. Hutokea baada ya mifumo ya mwili kushindwa kudhibiti ongezeko la ghalfa...
  14. Sabaya mahakamani tena akiwa peke yake

    Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake. Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa...
  15. KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia.

    KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia. Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani mwa Tanzania na Zambia, ikabidi nijiambie kwamba hiki ni kijiji katika ulimwengu wake. Kwa Watanzania...
  16. M

    SoC02 "Nani kama MAMA" kauli yenye ushindi mkubwa mno kwa mama aliyelea peke yake wenye siri kubwa mno kwa kizazi kijacho

    Dhamira yenye Matunda ya kheri huifanya dira iwe na muelekeo wenye matokeo chanya, naweza nisieleweke vizuri lakini wote tunakubariana kwamba panapokosekana amani pana kilomita nyingi ili kuufikia Upendo, umbali Kati ya amani na Upendo kati ya baba na mama waliotengana huweza kuwafanya wamama...
  17. Kumekucha Avic Town Wachezaji wanasema kama Aziza Kety atalipwa Mshahara wa Tsh Milioni 25 acheze peke yake

    Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
  18. Ukali wa maisha upo lakini sio kwa Tanzania peke yake"- Dkt. Anthony Diallo

    Nimemsikiliza Dk. Antony Dialo akizungumzia ugumu wa maisha kuwa na kufanya uchambuzi wake msikilize hapa:
  19. Je, tunapaswa kuacha kusumbukia mambo ya mwili na kujizamisha na mambo ya kiroho peke yake?

    “Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?” Mt 6:25 SUV. Hebu tuliangalie hili jambo, je tunapaswa tu kuwa bize na mambo ya Mungu na kuacha mambo mengine yanayohusu kazi...
  20. K

    Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

    Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…