Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.