Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Ungekuwa na kitu cha kufanya uongeona ndoa sio kifungo
 
Wote but mwanamke ana nafasi kubwa sana ya kuilinda ndoa ndo maana ya mwanamke mpumbavu uivunja ndoa yake
 
I mean ndoa sio kila kitu ukiona inakutesa moyo wako achana nayo,, Muhimu hakikisha huwezi kufa njaa na unaweza kuendesha maisha yako

Yaani kuchitiwa achitiwe yeye, Ila anasubiri baba patoko aunge mkono maamuzi yake.

Hakuna mtu anae weza kuvaa viatu vyako katika kioindi kama hiki.

Hapo fanya maamuzi yako yatakayo kuweka huru
 
Hii stori ni ya upande mmoja. Labda jamaa ameamua kufanya hivyo kutokana na wewe. Umejaribu kujiangalia? Hakuna kitu kinatokea bila sababu. Labda kama ulikua unajua tabia zake na ukakubali kuolewa naye hivyo hivyo

Wazinzi hua hawaitaji sababu Mkuu.
 
Hebu tuchambue hapo vizuri, unaposema mume amesaliti amekuacha akaenda kuanza maisha na huyo rafiki yako, au wanaiba ila mume ni wako?

Mume familia anaihudumia au ahudumii ameitelekeza? Je, anakunyanyasa kwa vipigo au matusi na maneno makali?

Je, umekaa na mumeo kujua tatizo ni nini haswa la yeye kufanya hivyo? unamlaumu mumeo juu ya rafiki yako wa ndani kabisa huyo rafiki unamtoa kwenye hizo lawama? maana angekuwa anakupenda angekuambia au basi angejitahidi kukaa mbali na mumeo ili kuepusha lakini rafiki yako kajikausha na kaliwa kimya kimya tena kwa siri.

Ushauri wangu kama mumeo hana shida zingine zaidi ya hiyo ujue kuwa mwanaume wako ana udhaifu wa kutoishinda tamaa ya mwili ambayo kiuhalisia inaongozwa na pepo mchafu, kuomba talaka sio suluhisho maana sasa hivi utasema unaomba talaka baada ya muda fulani utajikita hitaji la kuishi na mtu linakuja na itakuwa sio rahisi kumpata.
 
Nilichogundua hapa dunian watu hawapend kuona mtu una furaha,ndo maana kila unaemfata anakwambia vumilia

Za kuambiwa changanya na zako
 
Unakuta mwanamke kukupa **** hadi ajiskie yeye🚮🚮🚮 kwanini usichepuke?
Tena anakupa kwa masharti,mara akuambie usimbenue style flani,mara ukimwambia abinuke hivi akuambie amechoka,mara aseme kimoja tu kinamtosha,kwa nini asisalitiwe kwa mambo kama hayo?
 
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Unakwepa mvua isikuloweshe kwa kujirusha mtoni ?
 
Back
Top Bottom