Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

Sababu za usaliti huwa haichukuliwi kama inaweza kuvunja ndoa dada labda kama mlishatengana muda mrefu na mambo mengine, jamii ishajijengea na kutuaminisha usaliti wawanaume sio kosa kama mnaishi na anakuhudumia...nishashuhudia mbaba kazaa hadi na pacha wa mke ila mpaka leo ndoa ipo na wanatamba nayo
 
Mimi sasa nimeingiaje kwenye haya matukio?
Cha muhimu, jaribu kuishi maisha yako kabisaaa humo ndani kwako fanya majukumu yote ya mke, acha kuuliza alikuwa wapi, acha kushika simu yake, akichelewa acha kupiga piga simu weee hata akilala nje akija mkaribishe tena kwa tabasamu inauma ila jikaze kinafki asijue unaumia, kama unachelewaga kulala tafuta haya tamthilia moja uipende uifatilieeee itakupotezea mawazo ya kuwaza hiyo umbwa yako. Acha kusimlia chochote ndugu zako, rafiki wala mawifi kazini ukifika weka mbali simu fanya majukumu yako yaani kiufupi punguza kuwa karibu naye ila jiweke busy kwa mambo yako ila USITHUBUTU KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAUME MWINGINE MAANA HAKUNA FURAHA UTAKUWA NAYO KAMWE NA ZAIDI AKIKUKAMATA WEWE NDIYO UTAONEKANA MALAYYER.
Ndani ya miezi 3 utaona mabadiliko na nafsi yako itazoea yaani ni hivi utakuwa na amani maana pengine kelele zako zinasababisha yote hayo japo wanaume ni malayerr dah
 
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Mwanaume ana de liboloz anakumwagia anarudi home bila uchafu mwanamke akichepuka anamwagiwa anarudi nyumbani kwa mme wake na masalia ya shahawa hata kama ameosha ndo maana unalaumiwa unataka kuvunja ndoa mwanaume hana kosa kabisa
 
Simple tu,muache huyo jamaa,kajitafutie mwanaume ambaye hataku cheat kamwe!!
 
Amezaa huko nje? Kama hajazaa potelezea tu. Mpe nafasi nyengine
 
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Ukichunguza sana utagundua kuwa huyo mwanaume alikuwa na dalili zote za ufuska ila ukajua utambadilisha,na ukifikiria kuwa umewakomesha wenzako kwa kumpata ukafunga macho...
 
Uchi unampa ipasavyo?

Una mpangilio mzuri ndani kwako?

Wewe ni Msafi?

Unamheshimu mumeo?

Tuanzie hapo kwanza
 
Majibuu humu leoo ni mepesi mepesi ingekuwaa ndio mwanamke hapoo Kila me angekuja na kauli nyundo...
 
Sasa huu kaka sio uke wenza nilijaribu pia kumwambia kama mimi sifiti aoe mke mwingine kuliko huu udhalilishaji anaoufanya.
Kama anaku cheat tena waziwazi huyo hafai
 
 
Kama huna kipato na uliolewa kwasababu ya kipato chake , vumilia . Lakini kama unajimudu kiuchumi achana nae fasta. Maana Kuna ndoa zingine zipo kwasababu mwanamke aliolewa kwa sababu familia na yeye mwenyewe kiuchumi hajimudu. Hapo lazima ukomae tu ,ukifikiria kwenu hakuna maisha.
 
Mwanaume ameumbwa for sex and sex. Unataka uharibu mpango wa Mungu. Hizo dini sijui na nini mpango wa mke mmoja ni utapeli mkubwa mno ambao wazungu walituletea. Mbona bado nikikutana na mwingine napatwa na hisia ya kumuingilia.
Wanaume wameumbwa kut00mba Kama hujui basi Kaa utulie ama achika subiria ambaye atakuwa anasimamisha kwako peke yako.
Mfalme mswati Kila mwaka anavunja bikra mpya na hajachoka.
Sema ni uchumi tu uNasumbua Ila mie Nina mpango wa kuvunja rekodi ya mfalme Suleiman, yeye alioa wake buku mie nilitaka nioe alfu kumi yaani ni uchumi.
Mungu akaumba men for breeding , elewa mwanaume mmoja anaweza akawapa mimba wanawake milioni moja kidogo yaani yeye KAZI yake ni kula kushiba baadaye anagonga tu basi.
Jogoo mwenyewe anagonga akiwa anataamia ama akiwa na vifaranga hana taarifa Naye.
This is nature don't try to go against it utaumia
Baba yako anao wangapi na wewe unao wangapi?
 
Baba yako anao wangapi na wewe unao wangapi?
We've to talk the facts na sio ishu personal , kwani Kuna mwanaume ambaye akipewa demu ww ki Ethiopia, Somali,Latin America ,Rwanda , carpe Verde , kiarabu , kizungu kuwa hawawezi mt00mba.
Men created to breed na ndio mana we're hardwired to sex hakuna upendo ni ngono tu, ule upendo unaficha kivuli cha sex kuwa itaonekana kidogo sio ustaraabu Ila nyuma ya upendo ni sex.
Mwanaume anapotafuta Mali ,fame,pesa , power etc jambo kubwa motivation kwake huwa ni kupata ngono at any time , kind of ngono anayotaka. Na mwanamke ameumbwa kuvutiwa na mwanaume mwenye hizo sifa kuwa ndiye anayefaa kumfaki Azae naye watt Mana anayo safety net ya maisha yake ya kesho pamoja na product of sex ya ku breed offspring.
Yaani mwanamke ni mjanja kuangalia for survival no matter what hakuna kuwa nayeye anapenda Wala nini anachoangalia ni uhakika wa Maisha yake na kiumbe kitachakozaliwa.
Huwa tunadanganya tu Ila inatakiwa potential ama mbolea zingine ni hadithi za abunuwasi.
Ukiwa na uhakika wa Maisha utakula mpaka wajukuu zako na watakuwa wanaacha waume zao kisa tu kuwa ni wakorofi
 
Back
Top Bottom