Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

Tena anakupa kwa masharti,mara akuambie usimbenue style flani,mara ukimwambia abinuke hivi akuambie amechoka,mara aseme kimoja tu kinamtosha,kwa nini asisalitiwe kwa mambo kama hayo?
Wanaume tunavumilia mengi, ili usilete ugomvi wa mara kwa mara inabidi utafute pa kujipozea. Huu ni ukweli ambao wanawake hawataki kuukubali. WANAWAKE TUPENI PAPA BILA KIPIMO
 
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Pole sana mzigo wa ndoa mke ndiye hubebeshwa, usipojitafuta mwenyewe unakufa mapema sana, ukienda Baraza la kata yeye anaongea hivyo wanamwamini nakuona mwanamke anamdomo sana, kumbe anataka haki yake, pole hapo nikufanya unaloona lina kupa amani, ushauri mwingine unakupotezea muda siku ukishituka umeshachelewa kama jirani yangu anajuta ningechukua maamuzi mapema nisingekuwa hivi.
 
Kama huwezi kuilinda ndoa yako mi nitajitolea kuwa mlinzi kwa mke wako
 
Ndoa ni ya wawili lakini hakuna mwanamke anaweza kuolewa na wanaume wawili Ila mwanaume anaweza kuoa wake wawili na zaidi
Kwahiyo hao wanawake kawaoa? Leo unanichanganya halafu nilikuwa nataka kuongea na wewe kaka mkubwa 😉
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, both mume and mke. Hata kama mwanamume anazidiwa na tamaa ya mwili kama anakuheshimu na anaheshimu ndoa atachepuka huko mbali kimya kimya sio na rafiki zako na workmate zako.
Haina haja hata ya kuomba talaka, just walk away. Tafuta chumba, panga, kaa na watoto.
Ukifanya hivyo pengine atabadirika ataanza kuheshimu ndoa yake na familia yake.
 
Mwanamume. Kwa maana wewe ndiye ume innitiate na utavunja. Wewe si waona Mwanamume akimfumania mke wake anayeadhibiwa ni yule Mwanamume aliyekutwa nae? Hii ina maana yule mke hakuwa na jukumu la kulinda ndoa yake, bali mumewe.
 
Siku ukijua kuwa Mfalme suleiman alikuwa na Wake 700 na michepuko 300 ndo utaacha kujipa umuhim.
Huyo mfalme Suleiman ni mpakwa mafuta wa Bwana.
 
Dunia haijawai kuwa na usawa kwenye hili swala,hapa utapata maumivu tu ila nikwambie tu hauko peke yako sehemu salama yakutoa yako ya moyoni ni kwenye maombi tu,omba Mungu akupe amani ya moyo achana na mambo ya mwanaume huyo mzinifu,angalia maisha yako
 
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Huyo ni chaguo laaako,
Ulimchagua mwenyewe,

Ni mzigo wako, tena uliapa kumpenda milele.
Msaada wako ni kusugua magoti yako kanisa katika roho na kweli, usipambane kawaida, pambana kiroho. Thank me later
 
Hii stori ni ya upande mmoja. Labda jamaa ameamua kufanya hivyo kutokana na wewe. Umejaribu kujiangalia? Hakuna kitu kinatokea bila sababu. Labda kama ulikua unajua tabia zake na ukakubali kuolewa naye hivyo hivyo
Acha hizo kama ni dada yako unamuona anapitia hayo?
 
Pole kwa unayopitia, mpaka Ile Imani ya kwamba kuolewa ni kustirika kwa mwanamke, itabaki kuwa jukumu lako kuilinda hiyo ndoa. Wabongo bado tunasafari ndefu katika sio tu kiuchumi bali katika ustaarabu pia hata ukisoma maoni ya wadau wengi humu utaona tulipo.
 
Huyo ni chaguo laaako,
Ulimchagua mwenyewe,

Ni mzigo wako, tena uliapa kumpenda milele.
Msaada wako ni kusugua magoti yako kanisa katika roho na kweli, usipambane kawaida, pambana kiroho. Thank me later
Mzigo ukikwelemea tupa huko, mkono mmoja usikukoseshe mbingu ukate hata uingie kigutu mbinguni🤭
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, both mume and mke. Hata kama mwanamume anazidiwa na tamaa ya mwili kama anakuheshimu na anaheshimu ndoa atachepuka huko mbali kimya kimya sio na rafiki zako na workmate zako.
Haina haja hata ya kuomba talaka, just walk away. Tafuta chumba, panga, kaa na watoto.
Ukifanya hivyo pengine atabadirika ataanza kuheshimu ndoa yake na familia yake.
Umeona eee, basi mtu awe naye Kwa heshima mke asijue, sasa eti mwanaume simu ikipigwa kama ni usiku anaamka kwenda sebuleni , au yupo sebuleni anaenda chumbani au anafungua mlango na kwenda kuongelea nje huko ! Kama umeamua kucheat kwanini asimalizane huko nje, mke heshima yake ipo wapi! Ndiyo maana wanakufa mapema. Halafu wanasingizia kauliwa kumbe mke aliacha kumuombea wakapita naye.
 
Umeshaanza usaliti, hivyo guilty inakulazimisha kutafuta sababu ya kuhalalisha matendo yako.

Vipi naweza kupata kupata access ya hio asali nami niionje?
 
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.

Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.

Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Mwanaume ameumbwa for sex and sex. Unataka uharibu mpango wa Mungu. Hizo dini sijui na nini mpango wa mke mmoja ni utapeli mkubwa mno ambao wazungu walituletea. Mbona bado nikikutana na mwingine napatwa na hisia ya kumuingilia.
Wanaume wameumbwa kut00mba Kama hujui basi Kaa utulie ama achika subiria ambaye atakuwa anasimamisha kwako peke yako.
Mfalme mswati Kila mwaka anavunja bikra mpya na hajachoka.
Sema ni uchumi tu uNasumbua Ila mie Nina mpango wa kuvunja rekodi ya mfalme Suleiman, yeye alioa wake buku mie nilitaka nioe alfu kumi yaani ni uchumi.
Mungu akaumba men for breeding , elewa mwanaume mmoja anaweza akawapa mimba wanawake milioni moja kidogo yaani yeye KAZI yake ni kula kushiba baadaye anagonga tu basi.
Jogoo mwenyewe anagonga akiwa anataamia ama akiwa na vifaranga hana taarifa Naye.
This is nature don't try to go against it utaumia
 
Du!!
 
Kweli ama uhalisia pia ni asili ama ndio Mungu aliumba ivyo , ukikataa ni wewe, swala dume anatembea na kundi la majike 30 kazi yake ni kuyatafutia malisho ama majani mazuri wanakula Sasa bana cha ajabu yeye ni kuvunja bikra zao,cheki mbwa wanavyopigania jike likiwa kwa heat.
Na wanaume huwa tunapigania Mali sana adi tunauana pia na hela ama Mali zinatufanya tunauana.
We had hardwired to *** than anything else Ila mdomoni tunadanganya , nenda Ile kiasilia hakuna mwanaume asiyependa kupewa kazi ya kutafuna bikra dunia nzima.
Huwezi shindana na code alizopiga Mungu. Unataka u hack programming ya mwenyezi Mungu kweli utaweza
 
Back
Top Bottom