pengo

The pengő (Hungarian: [ˈpɛŋɡøː]; sometimes written as pengo or pengoe in English) was the currency of Hungary between 1 January 1927, when it replaced the korona, and 31 July 1946, when it was replaced by the forint. The pengő was subdivided into 100 fillér. Although the introduction of the pengő was part of a post-World War I stabilisation program, the currency survived for only 20 years and experienced the most serious case of hyperinflation ever recorded.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amewamwagia sifa Wachagga

    Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18 katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam. Mwisho wa Ibada hiyo Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi Ludovic Joseph Minde alimpa nafasi Kadinali Pengo kutoa salamu na...
  2. Anachofanya kadinali Pengo kupitia redio ni hatari wakati wa taharuki.Yasijeyakatokea kama ya Rwanda.

    Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda...
  3. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  4. Dunia kufikia kuondoa pengo la kijinsia baada ya miaka 134

    Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa. Maendeleo yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1% tu kutoka mwaka 2023. Kwa kasi hii, itachukua miaka 134 kufikia usawa wa kijinsia duniani, mbali sana na lengo...
  5. B

    SoC04 Nafasi ya ujuzi wa kidijitali katika kuziba pengo la ajira nchini Tanzania

    Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
  6. Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

    Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi. Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli? Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi. Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita. Wakuu comment ziwe fupifupi
  7. Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  8. L

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
  9. Pengo la Upatikanaji huduma za kifedha na bidhaa lapungua 2023

    PENGO la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika kupata huduma rasmi za kifedha na bidhaa limepungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 10 mwaka 2017 hadi asilimia 3.6 mwaka 2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Wanawake ya Ujumuisho wa Kifedha (WACFI), Bi. Beng’I Issa amesema hayo...
  10. J

    Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  11. N

    Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
  12. Hatimaye Pengo la Mzee Mengi lazibwa, Hongera Waziri Makamba

    Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone . Mpango huo ulipotea baada ya Mzee huyo kufariki Dunia . Sasa leo Waziri wa mambo ya kigeni January Makamba amewaleta Wahindi ili kuziba Pengo hilo. ---...
  13. M

    Pengo lako ndiyo tunaliona sasa

    Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja. Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza...
  14. R

    Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga? Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa...
  15. Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  16. Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

    Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu. Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
  17. Kuongeza Kazi Zenye Hadhi/Staha ni Muhimu Katika Kupunguza Pengo la Usawa Duniani

    Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...
  18. Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    "....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa! "....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo...
  19. Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

    Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu. Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
  20. Fahamu uwazi katikati ya Mapaja unaakisi nini Kuhusu Ustadi wako wa kufanya Mapenzi

    Hii ndio tafsiri yake... Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi? Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…