CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.

Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.

Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
 
Hawa ndio viongozi wapendwa na wanaokubalika na kueleweka na wananchi. Wamebeba agenda zetu
 
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.

Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.

Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Hiki ulichosema ni kama umemaanisha kinyume chake. Lazima mtu akusome between the lines.
 
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.

Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.

Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Screenshot_20260806-121059~2.png
 
Mshaona lisu ni kisiki kigumu, hakihongeki na kununulika kwa bei yoyote. Kati ya kosa kubwa la kimfumo walilofanya mbogamboga ni kumshikilia TAL, mtahangaika Sana
 
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.

Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.

Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Miaka 60 ya Uhuru, mambo ni yaleyale, barabara,shule, hospital! Tunataka tuende zaidi ya hapo,maji,umeme na mengineyo iwe historia!Madini tunayo,bahari, maeneo makubwa ya kulima Bado tunalima na Jembe la Mkono,ubunifu hakuna!
 
Nyie machawa wakati wakati wa Mbowe mlipiga sana kelele Mbowe hafai na amefanya chadema kama mali yake mkataka apishe aje kiongozi mwingine, leo mnaisoma namba na bado

Mbowe mwishoni alikuwa kiongozi mzuri na mwenye busara. Hasa baada ya kutoka Jela.
 
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.

Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.

Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Nilishangaa CCM wanalalamika eti Mbowe ndio alikuwa Mpinzani wa kweli. Wakati walimwita mkabila na gaidi. Ila CCM wanafiki sana Zaidi ya shetani
 
Back
Top Bottom