Milio mapema sanaMbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.
Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.