Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri...